Wazee wapenda taarifa ya habari ni wambea sana

mtu chake Hahahaa mtusamehe vijana wenu!

Kijana anasema kwasababu Media houses zinamilikiwa na wenye nacho basi hata habari mtaziona/sikia zile ambazo wenye nacho wanataka.

Kwa msingi huu, anauliza hamui-brainwashed na ajenda za wenye nacho?
 
Unatabia za upinde kufuatilia tamthilia
 
Muelimishe tu mkuu

Kwasababu uhalisia wa umri unampotosha, anaona wazee wamejawa na umbea.
Hajui umbea ni nini,anadhani magazeti na majarida ya new York times, guardian, Newsweek,times nk yanasambaza umbea
 
Mbea ni mtu ambaye ana toa tarifa ya kweli bila ridhaa ya mhusika ...... simply hata wew hapa unatupa umbea
 
Naona umeamua kutuchana wazee wako
 
We endelea kusikiliza nyimbo za dayamondi
 
Muelimishe tu mkuu

Kwasababu uhalisia wa umri unampotosha, anaona wazee wamejawa na umbea.
Wamejaa umbea kishenzi. Miaka yote wanaangalia taarifa ya habari na hamna jipya zaidi ya kupata majungu ya kuongea kazini na vijiweni. Na majungu yenyewe yamechakachuliwa.
 
Hajui umbea ni nini,anadhani magazeti na majarida ya new York times, guardian, Newsweek,times nk yanasambaza umbea
Majina makubwa yasikutishe hivyo vyote ni vyombo vya kubrainwasha watu na kuwajaza majungu na umbea ili waende kutemea wengine.
 
Tutake radhi bwana mdogo...

Pata tofauti ya maarifa na umbea kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena umbea wa kina mama mtaani wa kufahamu mambo yanayoendelea kitaa, nani mdokozi, nani halipi madeni nk una manufaa kuliko umbea wa madingi kutaka kujua habari za wabunge, mawaziri nk. Wanajikuta eti nao wanashiriki kuendesha nchi kumbe umbea na majungu tu.
 
Duh! Wengine ndio content za habari zenyewe!!
Anyway na wewe umewaza kimbeya sana
 
Uelewa mdogo ndiyo maana utaona cha kitoto. Kufuatilia kwako taarifa ya habari kumedumaza uelewa wako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] by the way Information is power.
Ukiwa na maarifa utapenda kupata habari, inaweza kuwa hata kusoma kitabu au magazeti. Hizo zote ni Source of information!!
 
Kwasababu ulichokiandika ni kitu Cha kitoto sana kama u mtu mzima pole sana.

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, huyu ni mtoto, na huwa watoto hatuwalaumu, tunawasikiliza tunatabasamu, sasa wewe unauloza umri ili nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…