Wazee wapenda taarifa ya habari ni wambea sana

TAARIFA YA HABARI.

Mie napenda pia,

Mama yangu anapenda sana,

Wadogo zangu wanaelewa sana,

TAARIFA YA HABARI.
Bado unakaa kwenu tu umri wako huo? Bongo Kuna vijana wa hovyo sana
 
Kwahyo mnatusema wazee si ndio hili taifa kweli Lina potea kwa vijana kukosa maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…