Wazee wastaafu kukatwa pensheni zao kuchangia Mfuko wa Bima ya Afya

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Hii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee.
soma hapa

Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa kutoka miaka 10 hadi 15, pamoja na wastaafu kuchangia kiasi cha fedha kutoka katika pensheni zao ili kuendelea kutumia huduma.”

Comments: Kuwakata pensheni wasteful kulipia bima ya Afya ni wazo BAYA sana,sijui aliyelianzisha kama ni Mtanzania wa kawaida!

wasteful kimsingi wanatumia fedha inayochangwa na vijana wasiougua na pia fedha zao ambazo hawakutumia walipokuwa vijana kwa kuwa hawakuugua sana wakati huo! ...

MH HECHE WAAMBIE WAZEE KATIKA MIKUTANO YAKO KUWA KIFO CHAO KIMEANDALIWA RASMI SASA. UNAMKATA PENSHNI ALE NINI?

TUJIKUMBUSHE

Kumbe magufuli aliuona uuuzi wake.

https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-atengua-uteuzi-wa-mkurugenzi-wa-mamlaka-ya-usimamizi-wa-hifadhi-ya-jamii-ssra-dkt-irene-isaka.1528594/page-21​

Naungana na wewe

Not fair kuwakata wastaafu

But personal attack on Irene is not fair… hafanyi maamuzi peke yake
 
CCM haijawahi kuwa na huruma
Huwezi kuonea huruma wahuni na wala ndumu wa chakandumuz

But huruma ipo kwenye subsidized mbolea, mikopo ya elimu, matibabu ya bure Kwa wazee na watoto wachanga, Tasaf, chanjo, miundombinu nk
 
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa kutoka miaka 10 hadi 15, pamoja na wastaafu kuchangia kiasi cha fedha kutoka katika pensheni zao ili kuendelea kutumia huduma.”
Habari hii umeipata wapi?
 
Mkurugenzi kapotoka.kapendekeza mkakati mbaya ambao haupaswi kuingizwa katika utekelezaj kabisa! Atafute ubunifu mwingine wa kukuza mfuko wa taasisi na si kukamua akiba za wazee.
 
Naungana na wewe

Not fair kuwakata wastaafu

But personal attack on Irene is not fair… hafanyi maamuzi peke yake
MAZURI YOTE NI YA SAMIA YAKIFANYWA NA WATENDAJI WAKE AND VICE VERSA, LIKEWISE IRENE .......
 
Huwezi kuonea huruma wahuni na wala ndumu wa chakandumuz

But huruma ipo kwenye subsidized mbolea, mikopo ya elimu, matibabu ya bure Kwa wazee na watoto wachanga, Tasaf, chanjo, miundombinu nk
Umeelewa uzi?
 
MAZURI YOTE NI YA SAMIA YAKIFANYWA NA WATENDAJI WAKE AND VICE VERSA, LIKEWISE IRENE .......
Hatq wanaomlaumu samia wanakosea

Wakomae na watendaji tu

Nchi hii mijitu mizembe mingi mnaiacha kwenye vivuli vya viongozi wakuu
 
Back
Top Bottom