TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Nimeelewa Uzi, kamba na hata the postUmeelewa uzi?
Wewe Umeelewa? Maana Nafahamu una changamoto ya low IQ
Nimeelewa Uzi, kamba na hata the postUmeelewa uzi?
Hii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee.
soma hapa
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa kutoka miaka 10 hadi 15, pamoja na wastaafu kuchangia kiasi cha fedha kutoka katika pensheni zao ili kuendelea kutumia huduma.”
Comments: Kuwakata pensheni wasteful kulipia bima ya Afya ni wazo BAYA sana,sijui aliyelianzisha kama ni Mtanzania wa kawaida!
wasteful kimsingi wanatumia fedha inayochangwa na vijana wasiougua na pia fedha zao ambazo hawakutumia walipokuwa vijana kwa kuwa hawakuugua sana wakati huo! ...
MH HECHE WAAMBIE WAZEE KATIKA MIKUTANO YAKO KUWA KIFO CHAO KIMEANDALIWA RASMI SASA. UNAMKATA PENSHNI ALE NINI?
TUJIKUMBUSHE
Kumbe magufuli aliuona uuuzi wake.
https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-atengua-uteuzi-wa-mkurugenzi-wa-mamlaka-ya-usimamizi-wa-hifadhi-ya-jamii-ssra-dkt-irene-isaka.1528594/page-21
Na wale ambao hawana pensheni inakuwaje?Comments: Kuwakata pensheni wasteful kulipia bima ya Afya ni wazo BAYA sana,sijui aliyelianzisha kama ni Mtanzania wa kawaida!
Umeongea kitu Chamsingi sana...Watendaji wetu wengi hawana ubunifu Kisha wanawasingizia wanasiasaHatq wanaomlaumu samia wanakosea
Wakomae na watendaji tu
Nchi hii mijitu mizembe mingi mnaiacha kwenye vivuli vya viongozi wakuu
Ccm kila wanachofanya wanakosea sijui shida ipo wap?Tunawaomba Wazee wote wa Tanzania kuiunga Mkono Chadema ili kuzuia Mauaji yao wenyewe, CCM itawamalizeni bila huruma
Hawana baraka za MunguCcm kila wanachofanya wanakosea sijui shida ipo wap?
Mimi toka magu aongoze nji hii,nilipata soma kwamba nji ni raisUmeongea kitu Chamsingi sana...Watendaji wetu wengi hawana ubunifu Kisha wanawasingizia wanasiasa
Wazee wenyeweHii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee.
soma hapa
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa kutoka miaka 10 hadi 15, pamoja na wastaafu kuchangia kiasi cha fedha kutoka katika pensheni zao ili kuendelea kutumia huduma.”
Comments: Kuwakata pensheni wasteful kulipia bima ya Afya ni wazo BAYA sana,sijui aliyelianzisha kama ni Mtanzania wa kawaida!
wasteful kimsingi wanatumia fedha inayochangwa na vijana wasiougua na pia fedha zao ambazo hawakutumia walipokuwa vijana kwa kuwa hawakuugua sana wakati huo! ...
MH HECHE WAAMBIE WAZEE KATIKA MIKUTANO YAKO KUWA KIFO CHAO KIMEANDALIWA RASMI SASA. UNAMKATA PENSHNI ALE NINI?
TUJIKUMBUSHE
Kumbe magufuli aliuona uuuzi wake.
https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-atengua-uteuzi-wa-mkurugenzi-wa-mamlaka-ya-usimamizi-wa-hifadhi-ya-jamii-ssra-dkt-irene-isaka.1528594/page-21
Wazee wapi hao? Hawa wanaoimba mapambio ya mitano tena? Acha wapigwe akili iwakae sawaKimzaha mzaha litapita hili, Wazee waliwahi hili haraka mno.
Mkombozi wao ni kuiunga mkono Chadema ibadirishe kitanzi hiki. NO REFORM NO ELECTIONTunawaomba Wazee wote wa Tanzania kuiunga Mkono Chadema ili kuzuia Mauaji yao wenyewe, CCM itawamalizeni bila huruma
Hii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee.
soma hapa
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa kutoka miaka 10 hadi 15, pamoja na wastaafu kuchangia kiasi cha fedha kutoka katika pensheni zao ili kuendelea kutumia huduma.”
Comments: Kuwakata pensheni wasteful kulipia bima ya Afya ni wazo BAYA sana,sijui aliyelianzisha kama ni Mtanzania wa kawaida!
wasteful kimsingi wanatumia fedha inayochangwa na vijana wasiougua na pia fedha zao ambazo hawakutumia walipokuwa vijana kwa kuwa hawakuugua sana wakati huo! ...
MH HECHE WAAMBIE WAZEE KATIKA MIKUTANO YAKO KUWA KIFO CHAO KIMEANDALIWA RASMI SASA. UNAMKATA PENSHNI ALE NINI?
TUJIKUMBUSHE
Kumbe magufuli aliuona uuuzi wake.
https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-atengua-uteuzi-wa-mkurugenzi-wa-mamlaka-ya-usimamizi-wa-hifadhi-ya-jamii-ssra-dkt-irene-isaka.1528594/page-21
Mauaji mapyaHii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee.

DaaaHao wazee ndio wamelifikisha Taifa hapa lilipo kwa kuikumbatia CCM kwa maiak yote hiyo, wacha wapate cha moto.
Wakumuondoa sasa!Aondolewe haraks hapo huyo mkirugenzi na board yake kabla ya uchaguzi
Hii nchi tunapenda sana siasa... Insurance ni sayansi, na tujue tu duniani hakuna kitu cha bure. Tukitaka kutibu wazee bure, nani atalipa? Insurance ni sayansi, gharama kubwa za matibabu duniani ni kwenye kutibu wazee, who will pay?Naungana na wewe
Not fair kuwakata wastaafu
But personal attack on Irene is not fair… hafanyi maamuzi peke yake
Sasa ndugu Mtaalam hiyo pensheni ya laki 2 ndio tuikate tena bima? Unamfahamu anayewalipa Chawa hawa akina Dotto, Baba Levo na Steve Nyerere, anatoa wapi hizo hela?Hii nchi tunapenda sana siasa... Insurance ni sayansi, na tujue tu duniani hakuna kitu cha bure. Tukitaka kutibu wazee bure, nani atalipa? Insurance ni sayansi, gharama kubwa za matibabu duniani ni kwenye kutibu wazee, who will pay?