Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
hela za semina na fiesta za CCM zipo, hela za kulipa machawa ili wafanye propaganda zipo ila HELA ZA KUHAKIKISHA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA WANAKUWA NA BIMA ZISIZO NA KONAKONA NDIO HATUNA.

Dira ndiyo Nini?Chama kisicho na dira
Sio wazee ni watu wote, maana likipita hata vijana wa sasa wakizeeka itawaumiza.Kimzaha mzaha litapita hili, Wazee waliwahi hili haraka mno.
Dira ndiyo Nini?
Swali la kibwegeDira ndiyo Nini?
Nguvu kazi italipa - vijana hamuugui sanaHii nchi tunapenda sana siasa... Insurance ni sayansi, na tujue tu duniani hakuna kitu cha bure. Tukitaka kutibu wazee bure, nani atalipa? Insurance ni sayansi, gharama kubwa za matibabu duniani ni kwenye kutibu wazee, who will pay?
Vijana wetu wanaosimamia idara na mashirika ya umma wamefikia ukomo wa kufikiri! Tatizo lao siyo lishe bali ulafi!Hii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee.
soma hapa
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa kutoka miaka 10 hadi 15, pamoja na wastaafu kuchangia kiasi cha fedha kutoka katika pensheni zao ili kuendelea kutumia huduma.”
Comments: Kuwakata pensheni wasteful kulipia bima ya Afya ni wazo BAYA sana,sijui aliyelianzisha kama ni Mtanzania wa kawaida!
wasteful kimsingi wanatumia fedha inayochangwa na vijana wasiougua na pia fedha zao ambazo hawakutumia walipokuwa vijana kwa kuwa hawakuugua sana wakati huo! ...
MH HECHE WAAMBIE WAZEE KATIKA MIKUTANO YAKO KUWA KIFO CHAO KIMEANDALIWA RASMI SASA. UNAMKATA PENSHNI ALE NINI?
TUJIKUMBUSHE
Kumbe magufuli aliuona uuuzi wake.
https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-atengua-uteuzi-wa-mkurugenzi-wa-mamlaka-ya-usimamizi-wa-hifadhi-ya-jamii-ssra-dkt-irene-isaka.1528594/page-21
Hivi si ndio nyie mliokuwa mnapiga kelele Mfuko huo ulipokuwa umesemekana unataka kufa.Hii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee.
soma hapa
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa kutoka miaka 10 hadi 15, pamoja na wastaafu kuchangia kiasi cha fedha kutoka katika pensheni zao ili kuendelea kutumia huduma.”
Comments: Kuwakata pensheni wasteful kulipia bima ya Afya ni wazo BAYA sana,sijui aliyelianzisha kama ni Mtanzania wa kawaida!
wasteful kimsingi wanatumia fedha inayochangwa na vijana wasiougua na pia fedha zao ambazo hawakutumia walipokuwa vijana kwa kuwa hawakuugua sana wakati huo! ...
MH HECHE WAAMBIE WAZEE KATIKA MIKUTANO YAKO KUWA KIFO CHAO KIMEANDALIWA RASMI SASA. UNAMKATA PENSHNI ALE NINI?
TUJIKUMBUSHE
Kumbe magufuli aliuona uuuzi wake.
https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-atengua-uteuzi-wa-mkurugenzi-wa-mamlaka-ya-usimamizi-wa-hifadhi-ya-jamii-ssra-dkt-irene-isaka.1528594/page-21
We unadhani hela za kulipa hawa chawa 10 ndio italipia kusafisha figo kwa wazee?Sasa ndugu Mtaalam hiyo pensheni ya laki 2 ndio tuikate tena bima? Unamfahamu anayewalipa Chawa hawa akina Dotto, Baba Levo na Steve Nyerere, anatoa wapi hizo hela?
Tatizo walikuwa na vifurushi vya kisiasaNguvu kazi italipa - vijana hamuugui sana
Kuna chawa zaidi ya laki 5, tunayo majina yaoWe unadhani hela za kulipa hawa chawa 10 ndio italipia kusafisha figo kwa wazee?
Stupidest commentTatizo walikuwa na vifurushi vya kisiasa
Dira ndiyo nini kwenye mambo ya kisiasa!?Swali la kibwege
Hii nchi washaiua ,, baada ya miaka watatajana tu kina nani walikomba hela kwenye hilo shirikaHii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee.
soma hapa
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa kutoka miaka 10 hadi 15, pamoja na wastaafu kuchangia kiasi cha fedha kutoka katika pensheni zao ili kuendelea kutumia huduma.”
Comments: Kuwakata pensheni wasteful kulipia bima ya Afya ni wazo BAYA sana,sijui aliyelianzisha kama ni Mtanzania wa kawaida!
wasteful kimsingi wanatumia fedha inayochangwa na vijana wasiougua na pia fedha zao ambazo hawakutumia walipokuwa vijana kwa kuwa hawakuugua sana wakati huo! ...
MH HECHE WAAMBIE WAZEE KATIKA MIKUTANO YAKO KUWA KIFO CHAO KIMEANDALIWA RASMI SASA. UNAMKATA PENSHNI ALE NINI?
TUJIKUMBUSHE
Kumbe magufuli aliuona uuuzi wake.
https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-atengua-uteuzi-wa-mkurugenzi-wa-mamlaka-ya-usimamizi-wa-hifadhi-ya-jamii-ssra-dkt-irene-isaka.1528594/page-21
You dont know what you are talking about... unadhani kila mtu alikuwa analipa kama baba yako? Kuna familia zilikuwa zinalipa 67,000 kwa mwaka! Wapi huko umeona bima ya familia kwa 67,000 kwa mwaka.Stupidest comment
Baba yangu aliyefanya kqzi Coca Cola alikua na kifurushi gani cha diasa?
HayaYou dont know what you are talking about... unadhani kila mtu alikuwa analipa kama baba yako? Kuna familia zilikuwa zinalipa 67,000 kwa mwaka! Wapi huko umeona bima ya familia kwa 67,000 kwa mwaka.
NHIF inaendelea kutoa huduma ya matibabu kwa wastaafu na wenza wao kwa mujibu wa sheria, na hakuna mpango wala wazo la kukata wastaafu mafao yao kwa ajili ya matibabu, huu ni uzushi wa kupuuzwa.Hii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee.
soma hapa
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa kutoka miaka 10 hadi 15, pamoja na wastaafu kuchangia kiasi cha fedha kutoka katika pensheni zao ili kuendelea kutumia huduma.”
Comments: Kuwakata pensheni wasteful kulipia bima ya Afya ni wazo BAYA sana,sijui aliyelianzisha kama ni Mtanzania wa kawaida!
wasteful kimsingi wanatumia fedha inayochangwa na vijana wasiougua na pia fedha zao ambazo hawakutumia walipokuwa vijana kwa kuwa hawakuugua sana wakati huo! ...
MH HECHE WAAMBIE WAZEE KATIKA MIKUTANO YAKO KUWA KIFO CHAO KIMEANDALIWA RASMI SASA. UNAMKATA PENSHNI ALE NINI?
TUJIKUMBUSHE
Kumbe magufuli aliuona uuuzi wake.
https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-atengua-uteuzi-wa-mkurugenzi-wa-mamlaka-ya-usimamizi-wa-hifadhi-ya-jamii-ssra-dkt-irene-isaka.1528594/page-21
Siasa ndio zinaua mashirika. Siasa zikikutana na uhalisia ndio unaanza kuona vilio. Kama NHIF wanataka kuwa na vifurushi vya bei rahisi au bure na wanataka watu wapate huduma zenye ubora, wafungue hospitali zao kama NHS walivyofanya UK.Haya
Tujadili faida
Maana uko emotional