Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,700
- 9,570
Maisha ni nyoko sana, hao wazee wastaafu miongo miwili iliyopita walikuwa watendaji wa juu ngazi ya kufanya maamuzi. Sio wote ila baadhi walichukulia poa harakati za mabadiliko na kuikosoa serikali wakifikiri serikali itawajali milele.
Halikadhalika kwa vijana wa sasa walioajiriwa wanafikiri mambo ya wazee hayawahusu bila kujua wao ndio wastaafu watarajiwa.
CCM ni genge la washkaji fulani wahuni waliofanikiwa kupoka madaraka na mamlaka kwa kudhulumu haki za wananchi na kuwafanya wanavyotaka wao.