Chama kisicho na diraTunawaomba Wazee wote wa Tanzania kuiunga Mkono Chadema ili kuzuia Mauaji yao wenyewe, CCM itawamalizeni bila huruma
CCM haijawahi kuwa na hurumaChama kisicho na dira
Naungana na weweHii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee.
soma hapa
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa kutoka miaka 10 hadi 15, pamoja na wastaafu kuchangia kiasi cha fedha kutoka katika pensheni zao ili kuendelea kutumia huduma.”
Comments: Kuwakata pensheni wasteful kulipia bima ya Afya ni wazo BAYA sana,sijui aliyelianzisha kama ni Mtanzania wa kawaida!
wasteful kimsingi wanatumia fedha inayochangwa na vijana wasiougua na pia fedha zao ambazo hawakutumia walipokuwa vijana kwa kuwa hawakuugua sana wakati huo! ...
MH HECHE WAAMBIE WAZEE KATIKA MIKUTANO YAKO KUWA KIFO CHAO KIMEANDALIWA RASMI SASA. UNAMKATA PENSHNI ALE NINI?
TUJIKUMBUSHE
Kumbe magufuli aliuona uuuzi wake.
https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-atengua-uteuzi-wa-mkurugenzi-wa-mamlaka-ya-usimamizi-wa-hifadhi-ya-jamii-ssra-dkt-irene-isaka.1528594/page-21
Huwezi kuonea huruma wahuni na wala ndumu wa chakandumuzCCM haijawahi kuwa na huruma
Habari hii umeipata wapi?Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa kutoka miaka 10 hadi 15, pamoja na wastaafu kuchangia kiasi cha fedha kutoka katika pensheni zao ili kuendelea kutumia huduma.”
NENDA OPERA NEWS UTAIKUTAHabari hii umeipata wapi?
MAZURI YOTE NI YA SAMIA YAKIFANYWA NA WATENDAJI WAKE AND VICE VERSA, LIKEWISE IRENE .......Naungana na wewe
Not fair kuwakata wastaafu
But personal attack on Irene is not fair… hafanyi maamuzi peke yake
Umeelewa uzi?Huwezi kuonea huruma wahuni na wala ndumu wa chakandumuz
But huruma ipo kwenye subsidized mbolea, mikopo ya elimu, matibabu ya bure Kwa wazee na watoto wachanga, Tasaf, chanjo, miundombinu nk
CCM haijawahi kuwa na hurumaHuku ni kukosa shukrani kwa hawa wazee waliolitumikia Taifa kwa taabu usiku na mchana.
Hatq wanaomlaumu samia wanakoseaMAZURI YOTE NI YA SAMIA YAKIFANYWA NA WATENDAJI WAKE AND VICE VERSA, LIKEWISE IRENE .......