Wazee wastaafu kukatwa pensheni zao kuchangia Mfuko wa Bima ya Afya

hela za semina na fiesta za CCM zipo, hela za kulipa machawa ili wafanye propaganda zipo ila HELA ZA KUHAKIKISHA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA WANAKUWA NA BIMA ZISIZO NA KONAKONA NDIO HATUNA.
 

Comments: Kuwakata pensheni wasteful kulipia bima ya Afya ni wazo BAYA sana,sijui aliyelianzisha kama ni Mtanzania wa kawaida!
Na wale ambao hawana pensheni inakuwaje?
au wenye pesheni watawalipia wasio na pensheni?

watu ambao wapo sekta binafsi wengine hiyo NHIF wanaisikia,na wengine makampuni yao wakistaafu na bima zao zinafungwa hapo hapo,sasa wakikatwa pensheni zao ndo wanapewa bima au ni mpaka waende kujiandikisha?
 
Hatq wanaomlaumu samia wanakosea

Wakomae na watendaji tu

Nchi hii mijitu mizembe mingi mnaiacha kwenye vivuli vya viongozi wakuu
Umeongea kitu Chamsingi sana...Watendaji wetu wengi hawana ubunifu Kisha wanawasingizia wanasiasa
 
Umeongea kitu Chamsingi sana...Watendaji wetu wengi hawana ubunifu Kisha wanawasingizia wanasiasa
Mimi toka magu aongoze nji hii,nilipata soma kwamba nji ni rais
 
Hao wazee ndio wamelifikisha Taifa hapa lilipo kwa kuikumbatia CCM kwa maiak yote hiyo, wacha wapate cha moto.
 
Wazee wenyewe
 
Tunawaomba Wazee wote wa Tanzania kuiunga Mkono Chadema ili kuzuia Mauaji yao wenyewe, CCM itawamalizeni bila huruma
Mkombozi wao ni kuiunga mkono Chadema ibadirishe kitanzi hiki. NO REFORM NO ELECTION
 


Unakurupuka.
Tangu awqli wazee kwa hiari yao wanaandika barua kuomba kukatwa 6% ya pension kwa ajili ya NHIF.
NI HIYARI NA UNAOMBA
 
Aondolewe haraks hapo huyo mkirugenzi na board yake kabla ya uchaguzi
 
Mauaji mapya
 
Naungana na wewe

Not fair kuwakata wastaafu

But personal attack on Irene is not fair… hafanyi maamuzi peke yake
Hii nchi tunapenda sana siasa... Insurance ni sayansi, na tujue tu duniani hakuna kitu cha bure. Tukitaka kutibu wazee bure, nani atalipa? Insurance ni sayansi, gharama kubwa za matibabu duniani ni kwenye kutibu wazee, who will pay?
 
Hii nchi tunapenda sana siasa... Insurance ni sayansi, na tujue tu duniani hakuna kitu cha bure. Tukitaka kutibu wazee bure, nani atalipa? Insurance ni sayansi, gharama kubwa za matibabu duniani ni kwenye kutibu wazee, who will pay?
Sasa ndugu Mtaalam hiyo pensheni ya laki 2 ndio tuikate tena bima? Unamfahamu anayewalipa Chawa hawa akina Dotto, Baba Levo na Steve Nyerere, anatoa wapi hizo hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…