Wazee wastaafu kukatwa pensheni zao kuchangia Mfuko wa Bima ya Afya

hela za semina na fiesta za CCM zipo, hela za kulipa machawa ili wafanye propaganda zipo ila HELA ZA KUHAKIKISHA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA WANAKUWA NA BIMA ZISIZO NA KONAKONA NDIO HATUNA.
 
Hii nchi tunapenda sana siasa... Insurance ni sayansi, na tujue tu duniani hakuna kitu cha bure. Tukitaka kutibu wazee bure, nani atalipa? Insurance ni sayansi, gharama kubwa za matibabu duniani ni kwenye kutibu wazee, who will pay?
Nguvu kazi italipa - vijana hamuugui sana
 
Vijana wetu wanaosimamia idara na mashirika ya umma wamefikia ukomo wa kufikiri! Tatizo lao siyo lishe bali ulafi!

Huyu Dr. Isaka awahi matibabu maana atabaka hata mama yake akidhania ni msichana!
 
Hivi si ndio nyie mliokuwa mnapiga kelele Mfuko huo ulipokuwa umesemekana unataka kufa.

Sasa mnahamasisha upumbavu kwenye hela za wachangiaji wa halali ambao wengi wao watachangia miaka zaidi ya miaka 20 na hata hawatolalamika.

Waambieni serekali iweke ruzuki msiwashambulie watu wanaolinda fedha za wachangiaji bila kutafakari mbali.

Mfuko unatakiwa uwe imara kwani na mtuachie sisi wachangiaji tunaochanga kwa muda mrefu.

Halafu check typos kwenye comment mzee. Usitupotoshe watanzania...

Huo Mfuko tunauhitaji uishi ili tupate huduma nafuu za matibabu. Na kuna raia mnaingiza mambo ya kisiasa kwenye vitu serious vya kiwasaidia wananchi.
 
Hii nchi washaiua ,, baada ya miaka watatajana tu kina nani walikomba hela kwenye hilo shirika
 
Stupidest comment

Baba yangu aliyefanya kqzi Coca Cola alikua na kifurushi gani cha diasa?
You dont know what you are talking about... unadhani kila mtu alikuwa analipa kama baba yako? Kuna familia zilikuwa zinalipa 67,000 kwa mwaka! Wapi huko umeona bima ya familia kwa 67,000 kwa mwaka.
 
You dont know what you are talking about... unadhani kila mtu alikuwa analipa kama baba yako? Kuna familia zilikuwa zinalipa 67,000 kwa mwaka! Wapi huko umeona bima ya familia kwa 67,000 kwa mwaka.
Haya

Tujadili faida

Maana uko emotional
 
NHIF inaendelea kutoa huduma ya matibabu kwa wastaafu na wenza wao kwa mujibu wa sheria, na hakuna mpango wala wazo la kukata wastaafu mafao yao kwa ajili ya matibabu, huu ni uzushi wa kupuuzwa.
 
Haya

Tujadili faida

Maana uko emotional
Siasa ndio zinaua mashirika. Siasa zikikutana na uhalisia ndio unaanza kuona vilio. Kama NHIF wanataka kuwa na vifurushi vya bei rahisi au bure na wanataka watu wapate huduma zenye ubora, wafungue hospitali zao kama NHS walivyofanya UK.

Gharama za end of life ni kubwa sana kuweza kufanywa bure
 
Sijaelewa hapo muda wa kuchangia kuongezwa toka miaka 10 hadi 15? Nini msingi wa hiki kipengele.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…