Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Ukiwanunulia wanyonge ma TV makuubwa ya million moja @ ukayaweka maeneo ya wazi zaidi ya tatu, maana yake million tano inaokoa maisha ya watu arobain.Kwa CCM, million tano Ni kubwa kuliko uhai wa watu arobaini walofariki Dar. Lakini kwa wenye akili, million tano ni ndogo mno ukilinganisha na maisha ya mtu mmoja, achilia mbali wawili,watatu, ....Bravo, RC wa Geita. Hata Dar walikuwa na uwezo wa kuokoa maisha, sema tu utaahira wa kutaka wafikishe viewers billion tatu utafikiri YouTube itawalipa. Shenzi kabisa
Kwani wanyonge wana runinga?