Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]daahSasa kama Chato ni padogo mno Je ule ujenzi wa miradi mikubwa ulilenga nini hasa?
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]daahSasa kama Chato ni padogo mno Je ule ujenzi wa miradi mikubwa ulilenga nini hasa?
Wakalime.
Aisee wewe inawezekana una akili ndogo kwelikweli. Uwanja uliosemekana ni mdogo ni wa moira! Hasira hazitamfifua marehemu.Sio uwanja wa mikutano ni wa ndege au kiswahili hujui tofauti ya uwanja wa mpira au wa hadhara na uwanja wa ndege ? Chadema you are so stupid.Kilimanjaro international airport huwa mnaitumia kwa mikutano ya kisiasa au kuaga Ndesamburo?
Dar watu wamekufa sanaa pale UhuruHaya nayo ni makubwa.
Wamestukia jambo gani?
Hautajengwa tenaaaa ziiiiiiiiHaujajengwa alisema utajengwa hujui kiswahili?
Ijumaa 26th of March 2021Jamani Eti siku ya mapumziko ya kitaifa ni lini?
kati ya Alhamis na Ijumaa?
Awali kama Zanzibar ya kuingizwa kwenye ratiba ya kuaga ilitangazwa siku ya mazishi kuwa tarehe 25/03/2021 kuwa mapumziko ya Kitaifa.
Sasa kwa kuwa siku ya mazishi imepekwa mbele kuwa tarehe 26/03/2021 Ijumaa baada ya kuingiza Zanzibar kwenye ratiba ya kuaga ,
Je, siku ya mapumziko itabaki ile ile Alhamis au itakuwa Ijumaa?
Eeenh Heee!
"Legends,"? There has to be a new meaning for the word.
If they cannot die alone, that means it's inevitable that people will still die irrespective of where they are!
Hiyo ni sababuya kutojua mipangilio ya kuwaongoza watu kwenye mikusanyiko. Ni uzembe wa hali ya juu sana.
Ngoja nikueleze jambo.'Legend' means extremely famous person! Don't you believe that the departed was famous? If LEGENDS are escorted it must be where they are and not anywhere else as you want us to believe!
Haya sasa, mizinga inarindima kijijini ambako watu hawajawahi kusikia milio ya aina ile, na wanaanza kuvurugana na kutimua mbio huku wengine wakianguka chini, kukanyagwa na kufa - hapo mjinga mmoja anajitokeza kusema watu wamekufa kutokana na marehemu alipendwa!mazishi ya Rais yanakua mpaka na mizinga... watu wakae nyumbani!
He could be famed to be brutal" - that is being famous too.
Haya sasa, mizinga inarindima kijijini ambako watu hawajawahi kusikia milio ya aina ile, na wanaanza kuvurugana na kutimua mbio huku wengine wakianguka chini, kukanyagwa na kufa - hapo mjinga mmoja anajitokeza kusema watu wamekufa kutokana na marehemu alipendwa!
Alikuwa eti 'legend'?
Marehemu tulimbeza tuu kumbe aliona mbali,ndiyo maana kulikuwa na mpango wa kujenga Uwanja mkubwa wa mpira kule,alijua kuna mambo ya kitaifa yatakuja kuhitaji spaces kama Uwanja,Hotels, airport ,hospital etcWananchi wa Wilaya ya Chato Mkoa wa Geita na mikoa jirani wameshauriwa kuaga mwili wa hayati Rais John Magufuli kwa kufuatilia kwenye vyombo mbalimbali vya habari vinavyorusha mubashara badala ya kwenda uwanjani.
Uamuzi huo unatokana na eneo la uwanja wa Magufuli ulipo wilayani humo uliotengwa kwa ajili ya shughuli za kuaga kuwa mdogo na hautaweza kuhudumia wananchi wote.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Machi 23, 2021 mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel amesema eneo la uwanja litatumiwa na familia, viongozi wa Serikali, dini na wawakilishi wa wananchi.
Amewataka wananchi wa Mkoa wa Geita hususan wa wilaya ya Geita kujitokeza barabarani Machi 24, 2021 ili waweze kutoa heshima za mwisho, akiwataka kufanya hivyo tena Machi 25.
“Chato hapatoshi ni padogo mno niwaombe wenye changamoto, wazee, watoto na wagonjwa naomba wakae nyumbani yapo maeneo yenye luninga mnaweza kuaga kwa kuangalia mubashara na eneo la maziko litahudhuriwa na watu wachache sana ambao ni familia na viongozi wakuu.
Niwaombe sana Machi 26 ni kwa ajili ya watu wachache mno naomba mkae nyumbani mtazame luninga,” amesema Gabriel.
Chanzo: Mwananchi
26Jamani Eti siku ya mapumziko ya kitaifa ni lini?
kati ya Alhamis na Ijumaa?
Awali kama Zanzibar ya kuingizwa kwenye ratiba ya kuaga ilitangazwa siku ya mazishi kuwa tarehe 25/03/2021 kuwa mapumziko ya Kitaifa.
Sasa kwa kuwa siku ya mazishi imepekwa mbele kuwa tarehe 26/03/2021 Ijumaa baada ya kuingiza Zanzibar kwenye ratiba ya kuaga ,
Je, siku ya mapumziko itabaki ile ile Alhamis au itakuwa Ijumaa?
Kuhusu mizinga ipigwe au isipigwe, hiyo haibadili chochote kwenye matokeo yaliyokwishapita.NINI SABABU YA HIYO MIZINGA KUPIGWA? Kujifanya wewe sio mjinga hakuondoi ujinga wako!
Marehemu tulimbeza tuu kumbe aliona mbali,ndiyo maana kulikuwa na mpango wa kujenga Uwanja mkubwa wa mpira kule,alijua kuna mambo ya kitaifa yatakuja kuhitaji spaces kama Uwanja,Hotels, airport ,hospital etc