King55
Member
- Feb 24, 2021
- 76
- 56
Sio mchezo aisee mpaka vijana wanaanza ligi za wapi watu wamefunika kuhudhuria kuaga..Ila mzee kazungushwa sana aisee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mchezo aisee mpaka vijana wanaanza ligi za wapi watu wamefunika kuhudhuria kuaga..Ila mzee kazungushwa sana aisee..
Kuhusu mizinga ipigwe au isipigwe, hiyo haibadili chochote kwenye matokeo yaliyokwishapita.
Hao wanaoweka hiyo mizinga si ndio hao hao aliowaweka kwenye nafasi hizo, sasa wewe unaniuliza mimi nijibu nini?
Eeenh Heee, imekuwa hivyo tena?Huwezi kujibu kwasababu wewe ni mjinga ingawa unajifanya sio mjinga.!!
Wataenda tu wanaskiaga basi
Anatafuta matibabu yaliyo bora. Huenda angebaki hapa nchini angefariki!Yeye mwenyewe Lisu mbona anazunguka kuzururisha midonda yake ya risasi si angetulia Tanzania mbona anazurura nayo mara Kenya mara Ubelgiji puuu
Bumbavu kabisaaSasa kama Chato ni padogo mno Je ule ujenzi wa miradi mikubwa ulilenga nini hasa?
Mkuu, hapo issue ni size ya uwanja wa shughuli na umati unaoweza kwenda hapo. Na sio ukubwa wa Chato na uhalali wa miradi mikubwa huko.Sasa kama Chato ni padogo mno Je ule ujenzi wa miradi mikubwa ulilenga nini hasa?
Si wanasemaga unachomwa sindano hauchiniNi vema ili kuepusha mwili wa marehemu kuchina!
Asante nimekuelewaMkuu, hapo issue ni size ya uwanja wa shughuli na umati unaoweza kwenda hapo. Na sio ukubwa wa Chato na uhalali wa miradi mikubwa huko.
Yepi hayoMambo yamekuwa mengi na muda hautoshi wameamua kufupisha ili kuokoa muda kuingia kwenye matukio mengine yaliyo mbele.
Ngumu mno mno...wataendaWasukuma walivyo vichwa ngumu, sidhani kama hawataenda...
Serikali ijiandae tu kisaikolojia
Hiyo ni uhakika kabisaNgumu mno mno...wataenda
Sio lazima familia ikigoma mizinga haikanyagi mazishi itapigwa kuaga tumazishi ya Rais yanakua mpaka na mizinga... watu wakae nyumbani!
Na Magafuli familia inataka kuagwa bora kama yeye Lisu anavyotafuta mitibabu bora kwa milisasi aliyotwangwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu akagoma kuwapa polisi ushirikianoAnatafuta matibabu yaliyo bora. Huenda angebaki hapa nchini angefariki!
Sasa kama Chato ni padogo mno Je ule ujenzi wa miradi mikubwa ulilenga nini hasa?
Na Magafuli familia inataka kuagwa bora kama yeye Lisu anavyotafuta mitibabu bora kwa milisasi aliyotwangwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu akagoma kuwapa polisi ushirikiano
Alitoroka bungeni kwenda na mke wa Mtu kumbe mwenyewe anamfuatilia kilipomkuta akaamua kuzunguka na vidonda
Itakuwa mdogo wa shetani wewe sio bure
Kifupi mtu haruhusiwi kumsema vibaya kilema wakati na yeye kilema .Anaburuza maguu yake kutafuta sehemu bora ya matibabu kuna tatizo gani marehemu kutafutiwa sehemu bora ya kuagwa?Anatafuta matibabu yaliyo bora. Huenda angebaki hapa nchini angefariki!