Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

Daah .....
Kujenga reli kuna thamani mbele ya mamia ya Raia waliopotezwa, kuuawa na kubambikiwa kesi
 
Sawa tutalifanyia kazi, na hili ls Simba kuchapwa 4-0 mnaliangalije?
 
Katiba mpya sifa mama na ya msingi kabisa kugombea urais wa jamhuri :Mgombea asiwe msukuma.
Endeleeni na huu upumbavu wa kutajataja makabila. Mtakuja kuchinjana huko mbeleni shauri yenu.

Naona mauaji ya Rwanda na Kenya hamjajifunza. Hakuna Raisi amewahi kupendwa Tanzania hii toka enzi za mwalimu.
 
Waendelee kutukana matusi lakini wakumbuke Kaskazini haitokuja kutoa Rais wa nchi hii labda awe mpare au mmaasai, vinginevyo never ever
Huko umeenda mbali, tuzungumzie tabia na desturi zawanafamu.
MTU mwenye heshima zako na akili timamu kwa nini u misbehave au utukane?
 
Chondechonde mama msije mkajisahau mkaturudisha huko tena. nashauri hata Waziri Mkuu,Majaliwa akimaliza mda wake muacheni akalime huko lindi, ndio mazao ya mwendazake hayo.

Huyu Pm tumuogope sana sana ana chembechembe za Hayati.
 
Kabisa tena kwa karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…