Huyo Mzee ameshindikana, huwezi kuwa above 30+ na bado uendelee kuishi kwenu.Mwandishi wa habari: Vipi mzee unaishi wapi ?
Babu wa tiktok (kwa kujiamini kabisa): naishi kwetu na sitohama , kama babako kajenga sasa wewe unajenga ya nini unataka zile nyumba waishi mashetani au? Saivi nakula bata .
ππ zee la hovyo na kitambulisho kikubwa cha vijana wa daslama π
Hahahaha...................kwahiyo ulikuwa hauzifikishi ama ilikuwaje Mkuu?Mbinu moja iliyo kuu ni kuhonga pakubwa, mbinu hii sawa na kukandika uso kwa makeup ili kuficha makunyanzi.
Nikiwa kijana matured nilikula sana hela za marehemu babu yangu kumkuwadia kwa ufuska wake.
Utasikia kananiita kwa sauti ya kutetema... 'Sikia mjukuu wangu, kesho nenda 'lubhaga' kachukue yule nzagamba, peleka mnadani na ukitoka huko hela yote peleka kwa Mariam ila usimwambie bibi yako, umesikia? '...
Nilikuwa ni jukuu pendwa.
Enzi hizo hata simu hakuna.Hahahaha...................kwahiyo ulikuwa hauzifikishi ama ilikuwaje Mkuu?
Mimi sijafikia hiyo style ya kuomba usaidizi ili kupata mchuchu
Njia za kuwapata watoto wa elfu 2, zimerahisishwa sana miaka hii
Yaani unakosa hata kuprinti Business Kadi 100 za kuweza kutembea nazo kweli π
Af huwezi amini mimi nlikua na jirani yang wa age hiyo ila mimi ni sawa na mtoto wake wa kiume lakini story tulizokua tunapiga utasema ni rika langu tukianza story za mademu duu ni hatar hadi nimehama bado tunaongea sana hata kwe simu.Yaani mimi na miaka yangu 38 najionaga ni mtu mzima sana hapa jf kumbe Kuna wengine mna 60+ mmepga kimya tu.
Hahaha.............hongera MkuuEnzi hizo hata simu hakuna.
Alinifanya tarishi wake.
Hela nilikuwa napata za ziada nikitumwa kuuza ng'ombe.
Nilikuwa namuuliza babu max price, akinitajia mi naenda kukomaa kuuza bei ya juu na cha juu chote ndiyo ujira wangu.
Babu alinipenda sana na tangia wakati huo nikajifunza biashara.
Temea chini mkuu, usilolijua ni sawa na usiku wa giza.Hamna wazee hapa...njia za kuwaingiza kwny mifumo yao...
Nawe umeanza kutokuwa na imani na Wazee?Hamna wazee hapa...njia za kuwaingiza kwny mifumo yao...
Endeleeni kuwadanganya hao wa Afu mbili...ππNawe umeanza kutokuwa na imani na Wazee?
Yaani pamoja na Mvi zote hizi, hutuaminiπ€
Haya sawa kaka...Temea chini mkuu, usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Mtu akikwambia ni mzee wee mkubalie wala usibishane naye, kama ni shikamoo mpe.
Nani ana hamu na hao mabinti wa afu 2, binti anataka Kila saa wakati Wazee hatuna hiyo pumzi πEndeleeni kuwadanganya hao wa Afu mbili...ππ
HiTupogo π
Hahahaha ulikuwa unavimba ukijua umri wako umesonga sanaYaani mimi na miaka yangu 38 najionaga ni mtu mzima sana hapa jf kumbe Kuna wengine mna 60+ mmepga kimya tu.
Kabisa mabinti wa alfu mbili hawajui lolote wao wanataka pampu tu.......wakati lile tendo ni maandalizi 1. Papasa 2. Mtekenyo 3. Kufinya finya 4. Kuparaza 5. Kummung'unya 6. Kumpigisha ukulele 7.UKAMILIFU........Nani ana hamu na hao mabinti wa afu 2, binti anataka Kila saa wakati Wazee hatuna hiyo pumzi π
Bora tumezeeka sasa π€
Kwani huzipatagiHaaiii πππ
Nashukuru kwa salamu angalau nafarijika.
Kabisa Mkuu, hao wanahitaji muwe mna umri unaoendana. Walau kabla hujafika mwisho wa safari unakuwa umeshambadiri mikao kama 8 hiviKabisa mabinti wa alfu mbili hawajui lolote wao wanataka pampu tu.......wakati lile tendo ni maandalizi 1. Papasa 2. Mtekenyo 3. Kufinya finya 4. Kuparaza 5. Kummung'unya 6. Kumpigisha ukulele 7.UKAMILIFU........
Kadiri umri unavyo ongezeka ndivyo utamu unavyo ongezeka....... na sisi tulibahatika mafunzo ya jando na unyago....tuna experience,ufundi na utaalam.....hili jambo msingi ni AFYA 1. Unachokula na kunywa 2.mazoezi...hasa KEGEL EXERCISE....Hivi at that age huwa mnakua na nyege kabisa?
Sek.45......inategemea mtu na mtu.....mie kuna cha alfu mbili niliamua kukiandaa alinitajia mpaka jina lake jingine kwa utamu na kupiga mayowe.....Kabisa Mkuu, hao wanahitaji muwe mna umri unaoendana. Walau kabla hujafika mwisho wa safari unakuwa umeshambadiri mikao kama 8 hivi
Sio sisi Wazee, kabla ya sekunde 45 tayari ushafika mwisho π