Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Huyo Mzee ameshindikana, huwezi kuwa above 30+ na bado uendelee kuishi kwenu.Mwandishi wa habari: Vipi mzee unaishi wapi ?
Babu wa tiktok (kwa kujiamini kabisa): naishi kwetu na sitohama , kama babako kajenga sasa wewe unajenga ya nini unataka zile nyumba waishi mashetani au? Saivi nakula bata .
๐๐ zee la hovyo na kitambulisho kikubwa cha vijana wa daslama ๐
Sisi tuliozaliwa zamani tulijitahidi kuhama kwetu at 16 yrs, tayari tulishakuwa na ghetto la Chumba na sebule japo la Udongo