Wazee wenzangu 60 +

Wazee wenzangu 60 +

Mwandishi wa habari: Vipi mzee unaishi wapi ?

Babu wa tiktok (kwa kujiamini kabisa): naishi kwetu na sitohama , kama babako kajenga sasa wewe unajenga ya nini unataka zile nyumba waishi mashetani au? Saivi nakula bata .

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘† zee la hovyo na kitambulisho kikubwa cha vijana wa daslama ๐Ÿ˜†
Huyo Mzee ameshindikana, huwezi kuwa above 30+ na bado uendelee kuishi kwenu.

Sisi tuliozaliwa zamani tulijitahidi kuhama kwetu at 16 yrs, tayari tulishakuwa na ghetto la Chumba na sebule japo la Udongo
 
Mbinu moja iliyo kuu ni kuhonga pakubwa, mbinu hii sawa na kukandika uso kwa makeup ili kuficha makunyanzi.

Nikiwa kijana matured nilikula sana hela za marehemu babu yangu kumkuwadia kwa ufuska wake.

Utasikia kananiita kwa sauti ya kutetema... 'Sikia mjukuu wangu, kesho nenda 'lubhaga' kachukue yule nzagamba, peleka mnadani na ukitoka huko hela yote peleka kwa Mariam ila usimwambie bibi yako, umesikia? '...
Nilikuwa ni jukuu pendwa.
Hahahaha...................kwahiyo ulikuwa hauzifikishi ama ilikuwaje Mkuu?

Mimi sijafikia hiyo style ya kuomba usaidizi ili kupata mchuchu

Njia za kuwapata watoto wa elfu 2, zimerahisishwa sana miaka hii

Yaani unakosa hata kuprinti Business Kadi 100 za kuweza kutembea nazo kweli ๐Ÿ˜œ
 
Enzi hizo hata simu hakuna.

Alinifanya tarishi wake.

Hela nilikuwa napata za ziada nikitumwa kuuza ng'ombe.

Nilikuwa namuuliza babu max price, akinitajia mi naenda kukomaa kuuza bei ya juu na cha juu chote ndiyo ujira wangu.

Babu alinipenda sana na tangia wakati huo nikajifunza biashara.
 
Yaani mimi na miaka yangu 38 najionaga ni mtu mzima sana hapa jf kumbe Kuna wengine mna 60+ mmepga kimya tu.
Af huwezi amini mimi nlikua na jirani yang wa age hiyo ila mimi ni sawa na mtoto wake wa kiume lakini story tulizokua tunapiga utasema ni rika langu tukianza story za mademu duu ni hatar hadi nimehama bado tunaongea sana hata kwe simu.
 
Enzi hizo hata simu hakuna.

Alinifanya tarishi wake.

Hela nilikuwa napata za ziada nikitumwa kuuza ng'ombe.

Nilikuwa namuuliza babu max price, akinitajia mi naenda kukomaa kuuza bei ya juu na cha juu chote ndiyo ujira wangu.

Babu alinipenda sana na tangia wakati huo nikajifunza biashara.
Hahaha.............hongera Mkuu

Kwa haraka haraka ulikuwa hukosi 40,000 hadi 80,000 Kwa Kila ng'ombe

Ila Wazee baadhi inasemekana wanahonga sana mabinti, sijui kwakuwa wanakaribia Jioni ya Siku zao

Bora wengine tumeamua kubaki nyumbani na kucheza na Wajukuu tu ๐Ÿ˜œ
 
Nani ana hamu na hao mabinti wa afu 2, binti anataka Kila saa wakati Wazee hatuna hiyo pumzi ๐Ÿ™Œ

Bora tumezeeka sasa ๐Ÿค—
Kabisa mabinti wa alfu mbili hawajui lolote wao wanataka pampu tu.......wakati lile tendo ni maandalizi 1. Papasa 2. Mtekenyo 3. Kufinya finya 4. Kuparaza 5. Kummung'unya 6. Kumpigisha ukulele 7.UKAMILIFU........
 
Kabisa Mkuu, hao wanahitaji muwe mna umri unaoendana. Walau kabla hujafika mwisho wa safari unakuwa umeshambadiri mikao kama 8 hivi

Sio sisi Wazee, kabla ya sekunde 45 tayari ushafika mwisho ๐Ÿ™Œ
 
Hivi at that age huwa mnakua na nyege kabisa?
Kadiri umri unavyo ongezeka ndivyo utamu unavyo ongezeka....... na sisi tulibahatika mafunzo ya jando na unyago....tuna experience,ufundi na utaalam.....hili jambo msingi ni AFYA 1. Unachokula na kunywa 2.mazoezi...hasa KEGEL EXERCISE....
 
Kabisa Mkuu, hao wanahitaji muwe mna umri unaoendana. Walau kabla hujafika mwisho wa safari unakuwa umeshambadiri mikao kama 8 hivi

Sio sisi Wazee, kabla ya sekunde 45 tayari ushafika mwisho ๐Ÿ™Œ
Sek.45......inategemea mtu na mtu.....mie kuna cha alfu mbili niliamua kukiandaa alinitajia mpaka jina lake jingine kwa utamu na kupiga mayowe.....
 
Back
Top Bottom