Jamaa nimecheka Sana Hii comment🤣🤣🤣🤣Huna swaga, acha kuvaa kaunda suti
Mkuu mbona Rahisi tuWakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?
Wanyama wana akili sana. Hawawezi kumuweka mpumbavu kuwa kiongozi wa kundiWakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?
Wakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?
NakaziaIla baada ya hapo ujiandae na safari ya makao makuu ya Azuma. Vina UTI zaidi ya sugu yenyewe.
Mbona wengine tunavaa Kaunda suti na vinatutongoza vyenyewe .Huna swaga, acha kuvaa kaunda suti
NakIla baada ya hapo ujiandae na safari ya makao makuu ya Azuma. Vina UTI zaidi ya sugu yenyewe.
Hii picha toka natumia uswaswadu hadi leo inazunguukaView attachment 3645156
acha maneno mengi uchawi huu hapa
TUBU na kuiamini injili....Wakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?
ChaiWakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?