Wazee wenzangu, mnavipataje hivi vitoto vya 2000? Maana nimejaribu kila mbinu nikafeli

Wazee wenzangu, mnavipataje hivi vitoto vya 2000? Maana nimejaribu kila mbinu nikafeli

Njoo nikupe haka kakwangu nimechoka vizinga na ujinga ujinga wakutaka niwe kama genz eti ninyoe kihuni na nipge jeans niache kuvaa suruali za vitambaa na mashati ya mikono mirefu hataki
 
Dah hii nchi ina mengi, ukitaka vitoto vya elfu mbili usivitongoze viulize Simu Yako ipi inapokea muamala, weka kuanzia 50 to laki , utavikula sana vitumie nauli vipige picha vimebinua matako , ila hizo pesa unazongohonga ipo siku utazikumbuka
 
Mbona sisi wengine wanatusaka kwa spidi kali sana. Mpaka picha za utupu tunatumiwa. Hauna ili wala lile binti wa mtu anakutumia picha amevaa chupi na sidiria ya kuogelea kuuliza kama amependeza anataka kwenda beach.

Kwa kusaidia kwa kuanzia embu vuta kwanza crown au marecdes benz. Watakuja wenyewe hao.
 
unataka nilete hoja zipi za kukupendeza wewe? Ukiona hii ni hoja ya kipuuzi kwa nini usingepita kimya kimya kama unaaga maiti, manake kujibu hoja ya kipuuzi ni upuuzi pia.

Sio lazima kuandika andika kama huna hoja.......
 
Back
Top Bottom