Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Watu wanawakwepa we unawatafuta?
unataka nilete hoja zipi za kukupendeza wewe? Ukiona hii ni hoja ya kipuuzi kwa nini usingepita kimya kimya kama unaaga maiti, manake kujibu hoja ya kipuuzi ni upuuzi pia.Mpumbavu kabisa..... kama huna hoja ama mada muhimu baki msomaji tu..... Sio lazima/sheria kuleta thread hapa !!!!!
Huwezi kubaki msomaji ? Ama kuleta hoja za kipuuzi ?

Aache kuvaa suti za kitambaa Cha satiniHuna swaga, acha kuvaa kaunda suti
Mbona Kipenzi Changu anavaa kaunda suti na bado anawapataHuna swaga, acha kuvaa kaunda suti
Watoto wa 2000 nao wana watoto🙆Wazazi wenye watoto waliozaliwa 2000 waleeni watoto wenu kwenye maadili mazuri
Mimi nimefufuka ww unataka kufa na vitoto vya 2000..naona mzee umefufuka! Karibu kwenye show za Peter Shalulile. A Namibian Sneiper.
sawa mkuu! Msalimie huko DaSlamMimi nimefufuka ww unataka kufa na vitoto vya 2000..
Shilole ndo nani?
Ndo nani mjini huku kwny jukwaa la mahusiano? Au ndo mpenzi wako huyo wa afu mbili anakukataa kisa umevaa jezi mahali pasipo husika...
Mwambie asipige kaunda suti pana na moka mchongoko, apige kaunda suti slim, travota na gari tinted, atanishukuru.Mbona Kipenzi Changu anavaa kaunda suti na bado anawapata
Sasa gari utakuta ndo hana😂Mwambie asipige kaunda suti pana na moka mchongoko, apige kaunda suti slim, travota na gari tinted, atanishukuru.
Ninge changia ila ndio vile dadayako naye yumo humu..Wakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?