Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Juz nilikutana na vibinti vya 2008, vina mabwana , vinakunywa pombe safi kabsa.Wazazi wenye watoto waliozaliwa 2000 waleeni watoto wenu kwenye maadili mazuri
Juz nilikutana na vibinti vya 2008, vina mabwana , vinakunywa pombe safi kabsa.Wazazi wenye watoto waliozaliwa 2000 waleeni watoto wenu kwenye maadili mazuri
Juz nilikutana na vibinti vya 2008, vina mabwana , vinakunywa pombe safi kabsa.
Ni huzuniWatoto wa elf mbili wamesha kuwa wamama
Kuna hawa wa 2008 aisee wanajua kudeka balaa.
Unstamani hivyo vijukuu?Vitakuchezea ubakiwe na sonona tu.Achana navyo.Wakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?
Eti kwa kukusaidia... uko sahihi mimi na ufupi wangu now nawakimbia ninao kama ishirini hivi na wote hawajuani.Ila nilivokuwa nasoma walinikataa sana..Mbona sisi wengine wanatusaka kwa spidi kali sana. Mpaka picha za utupu tunatumiwa. Hauna ili wala lile binti wa mtu anakutumia picha amevaa chupi na sidiria ya kuogelea kuuliza kama amependeza anataka kwenda beach.
Kwa kusaidia kwa kuanzia embu vuta kwanza crown au marecdes benz. Watakuja wenyewe hao.
Mbona kweli ni babu kwa mwonekano huo!Ila usikate tamaa endelea kutupia ulezi,mtama na mchele atajaa japo mmoja.Wakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?
Sasa hizo zote atatimiza au amdanganye?Muulize simu yako inapokea muamala? Mwambie akupe namba halafu mtumie milioni 3 akanunue simu na nguo....Halafu mwambie atafute nyumba Mbweni JKT ya ghorofa umpangie kwa mwaka mzima.
Na Pia mwambie atafute Dada wa kazi wa kumsaidia kusafisha nyumba na kazi ndogo ndogo ,halafu mwambie atafute chuo cha Driving ajifunze kuendesha gari ,halafu mwambie aende yard yeyote akachukua invoice ya gari anayoipenda ,akikataa vyote hivyo basi nenda Pangani nikupe namba ya KWA BABU SHETAWA.
Anatimiza ,si amesema kwamba Mpunga/Mzigo siyo tatizo kwake....kwahiyo ni vitu vidogo sana kwake.Sasa hizo zote atatimiza au amdanganye?
Muongo huyo! Uwe na mpunga halafu watoto wa buku bee wakukatae sio kweliAnatimiza ,si amesema kwamba Mpunga/Mzigo siyo tatizo kwake....kwahiyo ni vitu vidogo sana kwake.
Unakiona io karatasi nyekundu hapo kazi kwakoWakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?
Balaa tupuWazazi wenye watoto waliozaliwa 2000 waleeni watoto wenu kwenye maadili mazuri