Wazee wenzangu, mnavipataje hivi vitoto vya 2000? Maana nimejaribu kila mbinu nikafeli

Mpumbavu kabisa..... kama huna hoja ama mada muhimu baki msomaji tu..... Sio lazima/sheria kuleta thread hapa !!!!!

Huwezi kubaki msomaji ? Ama kuleta hoja za kipuuzi ?
unataka nilete hoja zipi za kukupendeza wewe? Ukiona hii ni hoja ya kipuuzi kwa nini usingepita kimya kimya kama unaaga maiti, manake kujibu hoja ya kipuuzi ni upuuzi pia.
 
Wakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?
Ninge changia ila ndio vile dadayako naye yumo humu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…