Wazee wenzangu, mnavipataje hivi vitoto vya 2000? Maana nimejaribu kila mbinu nikafeli

Muulize simu yako inapokea muamala? Mwambie akupe namba halafu mtumie milioni 3 akanunue simu na nguo....Halafu mwambie atafute nyumba Mbweni JKT ya ghorofa umpangie kwa mwaka mzima.

Na Pia mwambie atafute Dada wa kazi wa kumsaidia kusafisha nyumba na kazi ndogo ndogo ,halafu mwambie atafute chuo cha Driving ajifunze kuendesha gari ,halafu mwambie aende yard yeyote akachukua invoice ya gari anayoipenda ,akikataa vyote hivyo basi nenda Pangani nikupe namba ya KWA BABU SHETAWA.
 
Watoto wa elf mbili wamesha kuwa wamama

Kuna hawa wa 2008 aisee wanajua kudeka balaa.
 
Wakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?
Unstamani hivyo vijukuu?Vitakuchezea ubakiwe na sonona tu.Achana navyo.
 
Eti kwa kukusaidia... uko sahihi mimi na ufupi wangu now nawakimbia ninao kama ishirini hivi na wote hawajuani.Ila nilivokuwa nasoma walinikataa sana..
 
Wakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?
Mbona kweli ni babu kwa mwonekano huo!Ila usikate tamaa endelea kutupia ulezi,mtama na mchele atajaa japo mmoja.
 
Sasa hizo zote atatimiza au amdanganye?
 
Wakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa sangoma vitanipenda, au nifanyeje wazee wenzangu?
Unakiona io karatasi nyekundu hapo kazi kwako
 

Attachments

  • FB_IMG_1786161671166.jpg
    35 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…