Mhigomkami
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 1,105
- 765
Mh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo zamani nyie mlikua wajinga na washamba sio kwamba hamkua wezi ila mlikua wajinga na ushamba uliwajaaNi kweli vizazi hivyo havikuwahi kuonja ufisadi! Kizazi cha sasa kitu cha kwanza kinawaza utajiri bila kufanya kazi, kwa hiyo wengi wamekuwa wezi na mafisadi! Wako tayari kuwa wasenge wapate fedha!
Kwa hali hiyo nchi ina hali mbaya sana na ndiyo sababu viongozi kuuza mapande ya ardhi hawaoni tabu? Mwisho wa yote nchi yote itauzwa kwa mafisadi na wananchi watabaki kuwa watumwa na vibarua katika nchi yao!
Hongera sana. Mbona hujanunua Dar?Sasa tulieni niwaoneshe Kazi , nalipwa 500K Ila nimeshanunua shamba la mihogo mkuranga na kisarawe.
Sawa mtoto wa kopo! Babako ndiye aliyekuwa mshamba wa kutupwa hata rhumba hakuweza kulisakata!Acha uongo zamani nyie mlikua wajinga na washamba sio kwamba hamkua wezi ila mlikua wajinga na ushamba uliwajaa
Na hizo njia za kimafia zimefanya wengi wako gerezani.Huna sababu ya kulaumu kizazi kilichokutangulia, hata kama walifanya makosa huna namna ya kuyabadilisha bali wewe ndio unatakiwa upambane ubadilishe matokeo kwa kizazi kijacho.
Wakati mwingine usione mtu hajafanikiwa ukafikiri ni mjinga, bongo ni ngumu kutoboa kwa uhalali, ni ngumu kufanikiwa kwa njia za halali. Wakati mwingine unalazimika kutumia njia za kimafia sana ili ufikie mafanikio, sasa sio wote wana huo moyo wa umafia.
Una mroga auYani kununua mashamba ndio unakuja kutamba huku.
Sasa nasema hivi hayo mashamba hautoyalima miaka mitatu.
Wazazi wako wote wawili hawakuwahi kujenga maishani mwao?Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba.
Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi .
Mfano sehemu panaitwa kivule , Mbondole Yale maeneo wanakaa wakurya wale asilimia kubwa hawakununua Ila waliwahi Yale maeneo.
Leo hawa wazazi wetu wanatupa Sana pressure na kutishia kutupa laana kisa hatuwapi pesa.
Hivi MTU aliyesoma Elimu ya kibongo hadi chuo na akahitimu mwaka 2016s
MTU huyu kweli anaweza kuwa na hela za kutapanya na kubadilisha ubao wa matokeo.
Sasa tulieni niwaoneshe Kazi , nalipwa 500K Ila nimeshanunua shamba la mihogo mkuranga na kisarawe.
Nafanya hivi ili watoto wangu wakute assets wasianze zero.
Kizazi cha starehe kilichoendekeza ngono na pombe ndo kizazi hiki hakina network wala connection na ndo kizazi hiki kimekuwa tatizo hapa Tanzania.
Acha kuwaongopea wakuja wenzako,mwaka 2005 Dar ulikuwa huwezi kupata sehemu eti kwa "kuwahi" tu hayo mambo yalishaisha wakati huo, hata yalipokuwepo miaka kadhaa nyuma yalikuwa yakiuzwa na serikali ya kijiji kama mashamba pori kwahiyo yalikuwa yakinunuliwa japo kwa hela ndogo na ukishindwa kulihudumia baada ya muda nawe unanyang'anywa linauzwa kwa mwingine.Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba.