Wazee wetu wenye miaka 50s 60s 70s wengi hawakujitambua kuhusu maisha.

Acha uongo zamani nyie mlikua wajinga na washamba sio kwamba hamkua wezi ila mlikua wajinga na ushamba uliwajaa
 
Acha uongo zamani nyie mlikua wajinga na washamba sio kwamba hamkua wezi ila mlikua wajinga na ushamba uliwajaa
Sawa mtoto wa kopo! Babako ndiye aliyekuwa mshamba wa kutupwa hata rhumba hakuweza kulisakata!
 
Na hizo njia za kimafia zimefanya wengi wako gerezani.

mrangi
 
Wazee wengi wa hiyo age group walizaliwa na kukulia vijijini ,vibarua vikawaleta mjini,ndio ninyi mkazaliwa mjini, hiyo age group kweli pombe na wanawake ndio ulikuwa utamaduni
 
Wazazi wako wote wawili hawakuwahi kujenga maishani mwao?
 
Acha kuwaongopea wakuja wenzako,mwaka 2005 Dar ulikuwa huwezi kupata sehemu eti kwa "kuwahi" tu hayo mambo yalishaisha wakati huo, hata yalipokuwepo miaka kadhaa nyuma yalikuwa yakiuzwa na serikali ya kijiji kama mashamba pori kwahiyo yalikuwa yakinunuliwa japo kwa hela ndogo na ukishindwa kulihudumia baada ya muda nawe unanyang'anywa linauzwa kwa mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…