Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
SawaPunguza utapeli. Mwenzako anasema wameificha vitabu 80 wewe unasema wameificha vitabu 11, tumuamini nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaPunguza utapeli. Mwenzako anasema wameificha vitabu 80 wewe unasema wameificha vitabu 11, tumuamini nani?
Umeongea Fact sana Well doneKabla hata ya kuzijua hizo siri msikiti na kanisa ni drama tu ,ukitumia akili yako vizuri.
Hapana niliambiwa na Mtu kutokea UfaransaUmeyajulia Google bila shaka?
vitambaa? Vitambaa gani?Mfumo wa vitambaa.Elezea ili tukuelimishe.
Eti anayajua mengi kuhusu vatican siku akipata muda atatoa somo humu, yeye ameyajulia wapi? jamaa anataka kujifanya investigator fulani wa viwango vya scotland yard, kumbe anashindia mahindi ya kuchoma tu kama kina sie.Usimu-underrate "bodegadi" wa Papa.
Wewe tulia.Akina Ellen G White walitokea hapohapo.Have a surely, impatient!Eti anayajua mengi kuhusu vatican siku nikipata muda nitatoa somo humu, yeye ameyajulia wapi? jamaa anataka kujifanya investigator fulani wa viwango vya scotland yard, kumbe anashindia mahindi ya kuchoma tu kama kina sie.
Naona unajitekenya halafu unacheka mwenyeweWanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.
Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.
Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.
Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Hivi yake mahindi ya kuchoma huwa wanapaka pilipili na "chuuuuvi"?Eti anayajua mengi kuhusu vatican siku nikipata muda nitatoa somo humu, yeye ameyajulia wapi? jamaa anataka kujifanya investigator fulani wa viwango vya scotland yard, kumbe anashindia mahindi ya kuchoma tu kama kina sie.
Hamna ellen wala hellen hapa mkuu, ameshasema hapo juu kuwa aliambiwa na mtu kutoka ufaransa.Wewe tulia.Akina Ellen G White walitokea hapohapo.Have a surely, impatient!
Hahah na kalimao kwa mbali mkuu.Hivi yake mahindi ya kuchoma huwa wanapaka pilipili na "chuuuuvi"?
Kuambiwa na mtu ndo kunakufanya uwe na uhakika asilimia 100?Hapana niliambiwa na Mtu kutokea Ufaransa
Baba mkubwa wangu marehem aliwahi niambia kitu cha ajabu kidogo!!Hapana niliambiwa na Mtu kutokea Ufaransa
Fafanua Ellen G white alitokea wapi? Eleza kiundani acha kuleta habari za juu juu hapa..toa na citations and references tutakuelewaWewe tulia.Akina Ellen G White walitokea hapohapo.Have a surely, impatient!
Hivi kwanini waganga wa jadi zaidi ya asilimia 90 kama siyo wote ni Waisilamu, naomba ufafanuzi Kuna uhusiano gani kati ya uganga wa jadi na dini ya kiisilamuWanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.
Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.
Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.
Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Watu wa Kawaida wanadhani ni Muhimu Mwanaume Kuoa au kuwa na Mwanamke!Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.