Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Rushwa ukiona hivyoKuna askari wa barabarani ni vichaa. Wakiwa hapo barabarani wanasahau kama wana familia zinawatevemea. Gari ina plate namba ya nini kuhatarisha maisha vile? Huyo askari sio anaipenda kazi yake bali haipendi familia yake au hana anayemtegemea.
Kwahiyo huyu Naibu waziri yeye amejipachika mamlaka ya mahakama?Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani.
Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na leseni tuliyompa anyang’anywe kabisa, haiwezekani askari yupo kazini anakuzuia wewe unampelekea gari, nina wasiwasi na akili za madereva wetu sasa hivi, lazima atakuwa na shida mahali.”
Kuna jamaa yangu mjeda anatumia Nissan ya hivi, huenda ni gari zao pendwa........acha kiumane.Yule jamaa kujiamini vile kama vile mjeshi
Alikua tungi naona🤣🤣🤣😂 jamaa kazingua sana. Ule ni utovu wa nidhamu kupitiliza.
Iite nyuki, that is my favourite machine Y seriesNissan
Something is not right.Iite nyuki, that is my favourite machine Y series
Kwa nini huyo traffic police asimamishe Gari kwa Utaratibu huo? Tatizo liko kwa huyo traffic police.Hizi ni nyakati za UNANIJUA Mimi Nani?
Kwamba huyo traffic hawezi kumwambia dereva chochote.
Ukishakuwa na genge la hivyo, ni jambo hatari.
Leo unafurahi Kwasababu limeanzia kwa traffic, lakini Kama huyo jamaa amemfanyia hivyo traffic police maana yake anaweza kumfanya hivyo RAIA yeyote anayetumia barabara na asifanywe kitu.
Yule ni mjeshi mbonaYule jamaa kujiamini vile kama vile mjeshi
Enzi za " unajijua mimi ni nani?" Zimerejea tena😂 jamaa kazingua sana. Ule ni utovu wa nidhamu kupitiliza.
Haijalishi hapo alikuwa kwenye mamlaka nyingine...mamlaka hutii mamlakaYule ni mjeshi mbona