Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar to Dodoma then...pyu pyu pyuuuNissan
Wazee wa mzena hospital nini?Nissan
tusibadilishe mada,Dereva anaweza kuwa amekosea ila Waziri anapagawa tu bure.
Traffic anajua afya ya akili ya dereva hadi akae apo kuzuia gari kama break
Anachofanya traffic ndio taratibu zake za kaz zilivo katika kujal usalama wake? Namba za gari hazipo had yeye awe break?
Ndio dereva ana kosa ila traffic wetu wawe fair muda mwingine na sio kutega vitu havina maana....
Sheria zetu za barabarani mbovu, na traffic wanazitumia hizo hizo kupata ugali wao... its not right.
Umepata PHD ya mchongoKwahiyo huyu Naibu waziri yeye amejipachika mamlaka ya mahakama?
Kuna watu bado hamjui hawa traffic wanavyozinguwa barabara ni.
Traffic wajanja walishajiongeza siku nyingi wanakomaa na Daladal, kirikuu na magari makubwa, hawana mpango na hizi private car zimewaponza wengi hawana kazi au wamehamishiwa Polisi huko, ukiona gari ni ya RPC au DC.
Kutoka Tunduma mpaka Sumbawanga huwezi kusimamishwa na traffic hata siku moja.
Issue kubwa hapo ni usalama wake kiongozi..tusibadilishe mada,
Kwa wale walipitia vyuo vya driving wanajua, taratibu za barabarani na mamlaka ya Traffik
1. Traffic anayo mamlaka Kisheria ya kusimamisha chombo cha moto kikiwa barabarani sehemu ambayo ni salama kwa sababu anazoona zina faa. Inaweza kuwa kucheki, Leseni na vifaa muhimu vinavyotakiwa kuwa kwenye gari, Hali ya chombo chenyewe, taa, matairi, break nk
2. Swala la kuwa alisimama wapi wakati anasimamisha sio hoja muhimu hapa japo inaweza kuja kama njongeza
WaTz tumegawanyika kwenye hoja hii.Magari kama haya yawe tu yanaingia kwenye mikono ya serikali moja kwa moja, gari la hivi litaifishwe kabisa na kuwa gari la umma likasaidia kazi nyingine za maendeleo ya kitaoifa, kama trafiki kafanyiwa hivi, vipi bodaboda, vipi mtembea kwa miguu, huu ni utovu wa nidhamu na dharau, serikali chukueni hilo gari, ashike adaby katika maisha yake yote na iwe fundisho kwa wengine, hiyo ni maana kwamba alikusudia kumuua huyo trafiki.
Kuna watu vichwa vyao wanavijua wenyewe[emoji38][emoji38][emoji23] jamaa kazingua sana. Ule ni utovu wa nidhamu kupitiliza.
Katiba mpya na Bora zaidi!".....trafiki wangu"
".....leseni tuliyompa"
These speak a lot about your leaders' leadership mindset. Guys, your country is beyond repair. Yeah, the country is owned by a small group of people.
Katiba mpya ni necessity
Katiba mpya ikija hao wanaomiliki nchi wataacha?. Kwa ushahidi upi?.".....trafiki wangu"
".....leseni tuliyompa"
These speak a lot about your leaders' leadership mindset. Guys, your country is beyond repair. Yeah, the country is owned by a small group of people.
Katiba mpya ni necessity
Askari wa barabarani wana njaa sana ndio maana waadharaulika sana na madrevaTatizo askari wa barabarani ni wasumbufu na wanapenda sana kupokea rushwa. Wakati mwingine haya mambo ya kudharauliwa na madereva, wanajitakia wenyewe.