Waziri aagiza dereva wa gari aliyemgomea trafiki anyang'anywe leseni

Waziri aagiza dereva wa gari aliyemgomea trafiki anyang'anywe leseni

Dereva anaweza kuwa amekosea ila Waziri anapagawa tu bure.

Traffic anajua afya ya akili ya dereva hadi akae apo kuzuia gari kama break

Anachofanya traffic ndio taratibu zake za kaz zilivo katika kujal usalama wake? Namba za gari hazipo had yeye awe break?

Ndio dereva ana kosa ila traffic wetu wawe fair muda mwingine na sio kutega vitu havina maana....
Sheria zetu za barabarani mbovu, na traffic wanazitumia hizo hizo kupata ugali wao... its not right.
tusibadilishe mada,
Kwa wale walipitia vyuo vya driving wanajua, taratibu za barabarani na mamlaka ya Traffik
1. Traffic anayo mamlaka Kisheria ya kusimamisha chombo cha moto kikiwa barabarani sehemu ambayo ni salama kwa sababu anazoona zina faa. Inaweza kuwa kucheki, Leseni na vifaa muhimu vinavyotakiwa kuwa kwenye gari, Hali ya chombo chenyewe, taa, matairi, break nk
2. Swala la kuwa alisimama wapi wakati anasimamisha sio hoja muhimu hapa japo inaweza kuja kama njongeza
 
Huyo traffiki ni mpumbavu, utwkaaje mbele ya gari vile?
Kama dereva Katia pombe?
Kama gari break ni za kutafuta?
 
Kwahiyo huyu Naibu waziri yeye amejipachika mamlaka ya mahakama?

Kuna watu bado hamjui hawa traffic wanavyozinguwa barabara ni.

Traffic wajanja walishajiongeza siku nyingi wanakomaa na Daladal, kirikuu na magari makubwa, hawana mpango na hizi private car zimewaponza wengi hawana kazi au wamehamishiwa Polisi huko, ukiona gari ni ya RPC au DC.

Kutoka Tunduma mpaka Sumbawanga huwezi kusimamishwa na traffic hata siku moja.
Umepata PHD ya mchongo
 
Hiyo ni kazi ya mahakama bwana Waziri. Ama tupe kifungu cha sheria kinachokupa mamlaka ya kufuta lesseni ya mtu
 
tusibadilishe mada,
Kwa wale walipitia vyuo vya driving wanajua, taratibu za barabarani na mamlaka ya Traffik
1. Traffic anayo mamlaka Kisheria ya kusimamisha chombo cha moto kikiwa barabarani sehemu ambayo ni salama kwa sababu anazoona zina faa. Inaweza kuwa kucheki, Leseni na vifaa muhimu vinavyotakiwa kuwa kwenye gari, Hali ya chombo chenyewe, taa, matairi, break nk
2. Swala la kuwa alisimama wapi wakati anasimamisha sio hoja muhimu hapa japo inaweza kuja kama njongeza
Issue kubwa hapo ni usalama wake kiongozi..
Yeye ni msimamizi wa sheria, sasa akifa hapo familia yake itakuwaje.. hizi sheria za mkoloni amezikuta tu, na ataziacha, unadandia gari kama brake ya kigogo kwa elf 30 kwel?
 
Magari kama haya yawe tu yanaingia kwenye mikono ya serikali moja kwa moja, gari la hivi litaifishwe kabisa na kuwa gari la umma likasaidia kazi nyingine za maendeleo ya kitaoifa, kama trafiki kafanyiwa hivi, vipi bodaboda, vipi mtembea kwa miguu, huu ni utovu wa nidhamu na dharau, serikali chukueni hilo gari, ashike adaby katika maisha yake yote na iwe fundisho kwa wengine, hiyo ni maana kwamba alikusudia kumuua huyo trafiki.
WaTz tumegawanyika kwenye hoja hii.

Wengine tunataka haki ya kusikilizwa pande zote kabla ya hatua hazijachukuliwa.

Na hapo jambo hili lina pande nne za kumulikwa: kuna Polisi, kuna dereva, kuna mpiga picha na kuna mashahidi.

Kati ya pande nne kwa jicho la picha hii kwa muonekano wake, asiye na makosa ni mashahidi peke yake.

Pande tatu zilizobakia zina hoja ya kujibu.

Na hoja zao zikishajibiwa ndiyo mtu makini unaweza kuweka judgement yako..
 
Utamuhsehimuje mtu ambae akikusamamisha na ukatii kusimama moja kwa moja anakuomba rushwa, na ukionesha huna nia ya kumpa rushwa anakubambikiza makosa au vitisho.


Waziri angeanzia kwenye mzizi ingekuwa bora kuliko kuanzia juu ya matawi.

Hawa jamaa wamekithiri rushwa.
 
Sema yule askari ana matatizo ya akili kwasababu pale wangekuwa watu wengine angekanyaga mafuta tu shughuli ingeisha pale pale.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
".....trafiki wangu"

".....leseni tuliyompa"

These speak a lot about your leaders' leadership mindset. Guys, your country is beyond repair. Yeah, the country is owned by a small group of people.

Katiba mpya ni necessity
Katiba mpya na Bora zaidi!
 
".....trafiki wangu"

".....leseni tuliyompa"

These speak a lot about your leaders' leadership mindset. Guys, your country is beyond repair. Yeah, the country is owned by a small group of people.

Katiba mpya ni necessity
Katiba mpya ikija hao wanaomiliki nchi wataacha?. Kwa ushahidi upi?.
 
Tatizo askari wa barabarani ni wasumbufu na wanapenda sana kupokea rushwa. Wakati mwingine haya mambo ya kudharauliwa na madereva, wanajitakia wenyewe.
Askari wa barabarani wana njaa sana ndio maana waadharaulika sana na madreva
 
Back
Top Bottom