zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 747
- 1,404
Trafiki mwenyewe hajielewi, akili yote imekuwa paralized na rushwa kiasi kwamba hata maisha yake hathamini.Magari kama haya yawe tu yanaingia kwenye mikono ya serikali moja kwa moja, gari la hivi litaifishwe kabisa na kuwa gari la umma likasaidia kazi nyingine za maendeleo ya kitaoifa, kama trafiki kafanyiwa hivi, vipi bodaboda, vipi mtembea kwa miguu, huu ni utovu wa nidhamu na dharau, serikali chukueni hilo gari, ashike adaby katika maisha yake yote na iwe fundisho kwa wengine, hiyo ni maana kwamba alikusudia kumuua huyo trafiki.
Mtumishi wa umma asiekuwa na weredi wa kazi hatima yake ni kifo tu.
Mpumbavu sana trafiki yule