JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Hamis Ulega amesema suala la maji ya kuoshea maiti kudaiwa kutumika kwenye Samaki halina uhakika na kwamba ni hisia tu
Amesema “Ndio maana Makamu wa Rais (Phillip Mpango) ameagiza Wizara ya Afya ifanyie utafiti ili kama kuna kitu cha aina hiyo kizuiwe mara moja.
“Hakuna kitu kama hicho cha kuhifadhi Samaki kwa maji ya maiti, wapo salama na hakuna shaka yoyote.
Hizi ndizo kauli zinazotumaliza“Hakuna kitu kama hicho cha kuhifadhi Samaki kwa maji ya maiti, wapo salama na hakuna shaka yoyote.
NW anamfokea VP kweli?Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Hamis Ulega amesema suala la maji ya kuoshea maiti kudaiwa kutumika kwenye Samaki halina uhakika na kwamba ni hisia tu
Amesema “Ndio maana Makamu wa Rais (Phillip Mpango) ameagiza Wizara ya Afya ifanyie utafiti ili kama kuna kitu cha aina hiyo kizuiwe mara moja.
“Hakuna kitu kama hicho cha kuhifadhi Samaki kwa maji ya maiti, wapo salama na hakuna shaka yoyote.
Na wao ni miongoni mwetu tu kuna wakati wanapata Habari za VijiweniMakamu wa Rais alikurupuka kuja na habari iliyojaa hisia. Alitakiwa afanye huo utafiti kwanza, kabla ya kutamka hadharani habari yenye ukakasi.
UlimakafuNW anamfokea VP kweli?
Huyu naye hakupaswa kusema kauli ile mbele za watu bila ushahidi wa kisayansi. Huyu ndiye alikuwa Waziri wa fedha. Kweli mtu kama huyo anafaa nafasi aliyo nayo? Hivi mama alimchagua kwa vigezo vipi? Nadhani wanajuana toka utotoni...ATAFUTWE MTU ALIYEVUMISHA ILI ATUAMBIE ALIKOTOA UZUSHI HUO