Waziri Abdallah Ulega: Madai ya Samaki kuhifadhiwa kwa maji ya maiti ni hisia tu

Nilivyoona Makamu wa Rais anatamka vile nikajiuliza vijana walimuachaje?

Kaua biashara ya samaki mazima
 
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Hamis Ulega amesema suala la maji ya kuoshea maiti kudaiwa kutumika kuhifadhia Samaki halina uhakika na kwamba ni hisia tu.

Akijibu swali Bungeni kuhusu taarifa hizo ambapo inadaiwa matumizi ya maji hayo yanasababisha Saratani kwa walaji, amesema “Siyo kweli na ndio maana Makamu wa Rais (Phillip Mpango) ameagiza Wizara ya Afya ifanyie utafiti ili kama kuna kitu cha aina hiyo kizuiwe mara moja.

“Niwatoe hofu Watanzania, wapo salama na hakuna shaka yoyote juu ya taarifa hizo.”

shimboni mene
 
Kaka haya mambo ni magumu sana kuyang'amua tusbr mapenzi ya Mungu yatimizwe.
Hiyo kauli ni nzito Sana Ccm wakiamua kuikalia sawa sawa!

Mtu anaachia kiti mkuu!tena watasema soko la samaki limedorora na kusababisha hasara KWA wafanyabiashara !wanaunda kamati ya zengwe mwishowe Bunge linasema halina Imani na makamu wa RAIS kwamba anakwamisha uchumi anaambiwa awajibike na kweli mama anamwambia achia tu uokoe kiti changu !!jamaa kweli anaachia TU!ccm inarudi chimwaga wanafanya yao!!

Hata hao watafiti waliomlisha maneno ni watafiti uchwara tena wa mchongo!!

Subiri kamati ya uchunguzi ikija halafu uone!!!

Labda kama hakuna mchongo lakini kama upo KWELI mtu anaenda na maji Mkuu!!

Maoni huru!!
 
Nipo kwenye hii field ya samaki almost miaka 10 sasa nilipo sikia hii kitu nilishangaa sana kifupi ni kwamba hakuna kitu kama hicho
IMG_20170204_171509.jpg
 
Hiyo kauli ni nzito Sana Ccm wakiamua kuikalia sawa sawa!

Mtu anaachia kiti mkuu!tena watasema soko la samaki limedorora na kusababisha hasara KWA wafanyabiashara !wanaunda kamati ya zengwe mwishowe Bunge linasema halina Imani na makamu wa RAIS kwamba anakwamisha uchumi anaambiwa awajibike na kweli mama anamwambia achia tu uokoe kiti changu !!jamaa kweli anaachia TU!ccm inarudi chimwaga wanafanya yao!!

Hata hao watafiti waliomlisha maneno ni watafiti uchwara tena wa mchongo!!

Subiri kamati ya uchunguzi ikija halafu uone!!!

Labda kama hakuna mchongo lakini kama upo KWELI mtu anaenda na maji Mkuu!!

Maoni huru!!
Uko sahihi
 
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Hamis Ulega amesema suala la maji ya kuoshea maiti kudaiwa kutumika kuhifadhia Samaki halina uhakika na kwamba ni hisia tu.

Akijibu swali Bungeni kuhusu taarifa hizo ambapo inadaiwa matumizi ya maji hayo yanasababisha Saratani kwa walaji, amesema “Siyo kweli na ndio maana Makamu wa Rais (Phillip Mpango) ameagiza Wizara ya Afya ifanyie utafiti ili kama kuna kitu cha aina hiyo kizuiwe mara moja.

“Niwatoe hofu Watanzania, wapo salama na hakuna shaka yoyote juu ya taarifa hizo.”

Kwamba mtu mwenye ELIMU kiwango Cha Doctorate, tena kiongozi mkubwa wa pili baada ya Rais anaweza simama jukwaani na kuongea Kwa "HISIA"

Siamini ktk Hilo.

Naamini " Uchumi wa Kanda ya ziwa kwa S.Gang unahujumiwa".

Yana mwisho hayo lakini.
 
Iundwe kamati ya wataalamu wafanye utafiti waje na majibu ya uhakika kuhusu hizo tuhuma
Tz kamati zote hazijagi na majibu sahihi..man hua zinapigwa rushwa ya kufa mtu..zikija na ukweli ripoti zinafichwa makabatini.

Hapa ni wanachi kuikataa ccm ndio pona yao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Hamis Ulega amesema suala la maji ya kuoshea maiti kudaiwa kutumika kuhifadhia Samaki halina uhakika na kwamba ni hisia tu.

Akijibu swali Bungeni kuhusu taarifa hizo ambapo inadaiwa matumizi ya maji hayo yanasababisha Saratani kwa walaji, amesema “Siyo kweli na ndio maana Makamu wa Rais (Phillip Mpango) ameagiza Wizara ya Afya ifanyie utafiti ili kama kuna kitu cha aina hiyo kizuiwe mara moja.

“Niwatoe hofu Watanzania, wapo salama na hakuna shaka yoyote juu ya taarifa hizo.”

Anabishana na Boss wake
 
Back
Top Bottom