Mpina Luhaga kila kukicha anawabana mawaziri wa rais Samia.
Ana hoja za msingi anaonekana ni mtetezi wa wanyonge maana anawabana serikali na viongozi wake kwa hoja zenye mantiki.
Mara kibao tunaona magizo ya PM majaliwa hayafanyiwi kazi. Lakini mawaziri wapowapo tu. Mfano uwajibikaji wa watumishi umma.
Alafu Abdallah Ulega unaongea Pumba eti samaki walipimwa kimakosa kwa amri za Luhaga mpina. Kwani Fisheries regulation za Tanzania zinasemaje? Kwani Samaki akikaangwa ndio anapungua urefu. Acheni upuuzi jibuni hoja za Mpina .