residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Halafu eti yeye ni mtaalamu wa kiwanda cha uvuvi!!!Kama alikuwa anaogopa kumwambia ukweli bosi wake basi hafai kuwa kiongozi kabisa.kwa nchi zinazojielewa angeachishwa hiyo nafasi.Hii ameonesha hata kwa sasa atakuwa hana maamuzi ktk wizara yake kwa kumhofia rais.
Alianza kumtilia vitina Mpina kipindi kileHii jamii ya watanga huwa wanafiki sana,uswahili mwingi,kamfukuzisha kazi Mashimba Ndaki wakati yeye ni mweupe balaa
Kikwetu ulega ni ulevi hana jipya tangu lini mtu wa pwani akawa na akiliMpina Luhaga kila kukicha anawabana mawaziri wa rais Samia.
Ana hoja za msingi anaonekana ni mtetezi wa wanyonge maana anawabana serikali na viongozi wake kwa hoja zenye mantiki.
Mara kibao tunaona magizo ya PM majaliwa hayafanyiwi kazi. Lakini mawaziri wapowapo tu. Mfano uwajibikaji wa watumishi umma.
Alafu Abdallah Ulega unaongea Pumba eti samaki walipimwa kimakosa kwa amri za Luhaga mpina. Kwani Fisheries regulation za Tanzania zinasemaje? Kwani Samaki akikaangwa ndio anapungua urefu. Acheni upuuzi jibuni hoja za Mpina .
Nyuzi nyingine ya kipumbavu ya Sukuma Gang ikitaka kumtetea Luhaga Mpina mmoja kati ya mawaziri wa DIKTETA Magufuli ambaye ni KICHAA.Mpina Luhaga kila kukicha anawabana mawaziri wa rais Samia.
Ana hoja za msingi anaonekana ni mtetezi wa wanyonge maana anawabana serikali na viongozi wake kwa hoja zenye mantiki.
Mara kibao tunaona magizo ya PM majaliwa hayafanyiwi kazi. Lakini mawaziri wapowapo tu. Mfano uwajibikaji wa watumishi umma.
Alafu Abdallah Ulega unaongea Pumba eti samaki walipimwa kimakosa kwa amri za Luhaga mpina. Kwani Fisheries regulation za Tanzania zinasemaje? Kwani Samaki akikaangwa ndio anapungua urefu. Acheni upuuzi jibuni hoja za Mpina .
Mpina apewe uwazir haraka sana . Aapishwe muda huu ili atulieMpina Luhaga kila kukicha anawabana mawaziri wa rais Samia.
Ana hoja za msingi anaonekana ni mtetezi wa wanyonge maana anawabana serikali na viongozi wake kwa hoja zenye mantiki.
Mara kibao tunaona magizo ya PM majaliwa hayafanyiwi kazi. Lakini mawaziri wapowapo tu. Mfano uwajibikaji wa watumishi umma.
Alafu Abdallah Ulega unaongea Pumba eti samaki walipimwa kimakosa kwa amri za Luhaga mpina. Kwani Fisheries regulation za Tanzania zinasemaje? Kwani Samaki akikaangwa ndio anapungua urefu. Acheni upuuzi jibuni hoja za Mpina .
Ahaaa.Kikwetu ulega ni ulevi hana jipya tangu lini mtu wa pwani akawa na akili
USSR
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kikwetu ulega ni ulevi hana jipya tangu lini mtu wa pwani akawa na akili
USSR
Hebu shika adabu yako kututukana watu wa pwani kuwa hatuna akiliKikwetu ulega ni ulevi hana jipya tangu lini mtu wa pwani akawa na akili
USSR
Samaki wote watahesabiwa na watapimwa kujua urefu wao. Nyavu zitachomwa huku viwanda vya nyavu vikiendelea na uzalishajiM
Mpina apewe uwazir haraka sana . Aapishwe muda huu ili atulie
Wanyonge ni akina nani?Ana hoja za msingi anaonekana ni mtetezi wa wanyonge maana anawabana serikali na viongozi wake kwa hoja zenye mantiki.
None senseWanyonge ni akina nani?
Kwa mchango wako huu, Najifunza kwamba, hauko sawa kichwani!Nyuzi nyingine ya kipumbavu ya Sukuma Gang ikitaka kumtetea Luhaga Mpina mmoja kati ya mawaziri wa DIKTETA Magufuli ambaye ni KICHAA.
Mtahangaika sana, kipindi chenu mlimuona Magufuli kama mungu wenu. Shenfield kabisa
Nchii hiii Ina wapumbavu, hivi kama wewe huko shuleni ,ulifaulu faulu vipi???.Nyuzi nyingine ya kipumbavu ya Sukuma Gang ikitaka kumtetea Luhaga Mpina mmoja kati ya mawaziri wa DIKTETA Magufuli ambaye ni KICHAA.
Mtahangaika sana, kipindi chenu mlimuona Magufuli kama mungu wenu. Shenfield kabisa
Sisi kwetu Ulega ni Matikiti majiKikwetu ulega ni ulevi hana jipya tangu lini mtu wa pwani akawa na akili
USSR
Lazima wewe ni Shoga uliyekubuhuNyuzi nyingine ya kipumbavu ya Sukuma Gang ikitaka kumtetea Luhaga Mpina mmoja kati ya mawaziri wa DIKTETA Magufuli ambaye ni KICHAA.
Mtahangaika sana, kipindi chenu mlimuona Magufuli kama mungu wenu. Shenfield kabisa
Wewe tunakujuwa kuwa ni muabudu Magufuli, kwa kuwa akitajwa tu lazima utokeze kujibu.Nchii hiii Ina wapumbavu, hivi kama wewe huko shuleni ,ulifaulu faulu vipi???.
Wewe ni msukule wa Magufuli, akitajwa tu lazima utokeze kutetea. Poleni sana yatima wa MwendazakeKwa mchango wako huu, Najifunza kwamba, hauko sawa kichwani!
Rasimi nimekupuuza