Waziri Abdallah Ulega: Nilishindwa kupinga maamuzi ya Luhaga Mpina kupima samaki kwa rula kwenye migahawa

Wewe tunakujuwa kuwa ni muabudu Magufuli, kwa kuwa akitajwa tu lazima utokeze kujibu.
Huna akili, una shida sana kichwan , ni wale wajinga ambao hata Ule Uwezo wa kujitambua na uhuru wa kichwan, wameupoteza.


Sasa alichoongea Mpina, na Sukuma Gang, wapi na wapi???
 
Tanzania mbunge akifanya kazi yake anapewa sifa alizopewa Yesu baada ya kigeuza maji kuwa divai.
 
Abdallah Ulega miongoni mwa mawazori wa ovyo kuwahi kutokea!
Mswahilswahili asiye na point zaidi ya mipasho bungeni.

Ni huyuhuyu ambae majuzi pia alipingana na Vice President wetu Mheshimiwa Mpango!

Kule bungeni ni dhahiri kuwa wabunge makini kama mheshimiwa Luhaga Mpina,wanapambana na kundi la walamba asali na machawa wao,ambao kwao hoja kubwa ni kusakatonge na uteuzi.
 
Umepigia jibu mstari
 
Magufuli alisema kuwa Luhaga Mpina ni kichaa kama alivyokuwa yeye Magufuli hivyo kupima samaki waliokaangwa kwa rula ilikuwa ni kudhihirisha kichaa chake. Ila yote kwa yote hawa wabunge wa CCM wakiraruana nafarijika sana natamani wauane kabisa ili idadi ya wezi wa kura ipungue.
 
Kati
Ni afadhali Ulega nae angeendelea kukaa kimya. Ila amedhihirisha unafiki wake kwa umma.
 
Kikwetu ulega ni ulevi hana jipya tangu lini mtu wa pwani akawa na akili

USSR
Unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki mpuuzi wewe! Ulega kutokuwa na akili haina maana kwamba watu wote wa panic hawana akili. Hawana akili leo lakini ndiyo waliopigania UHURU JINGA WEWE.
 
Viongozi wajinga wananchi wajinga, iweje atuambie jinsi alivyo mnafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…