Waziri adaiwa kumwaga noti kununua Kawe beach, NHC yasema haijauzwa ni mali yake na kampuni ya Dubai

Kwani kaka yako haishi hapo!??
Mbona nami ninapokuwepo hapo Kawe Beach kwangu huwa namuona na msafara wake mdogo!!??
 
Hili wachangiaji wengi waliochangia huko juu hawalijui.
Ndio maana huyo mpangaji kapewa mpunga mrefu ili auze ile haki yake ya "ukazi wa muda mrefu" ambayo imempa tiketi ya kununua jengo na kuwa mpangaji wa "ardhi ya NHC".
 
Mpangaji hana haki ya kulipwa, anapewa maelekezo tu ya kuhama
 
Huyo Mbughuni alikuwa nani?

Alikuwa na tishio gani nchini mpaka ikapelekea Magufuli kumtesa?
Mwanzilishi wa kwanza wa magazeti binafsi nchini, yeye na Nyaulawa walifanya kazi pamoja miaka hiyo ya nyuma.

Alipoporwa ofisi za magazeti yake na zikaanza kutumiwa kwa mbwembwe na Musiba kwa kuwatukania wanasiasa waandamizi kina Membe na kundi zima la JK.
 
Hii si mara ya kwanza jambo kama hili kufanyika kupitia NHC. Limefanyika miaka mingi. Ni leo tu mumeamka?
Kuna majengo ya NHC yaliyotaifishwa mwaka 1971. Wenye nyumba wanaishi ndani lakini NHC na "wawekezaji" wakatumia polisi kuwatimua wenye nyumba asilia ambao wakaishia kukaa gesti. Wakaambulia zero mpaka leo
Je haya yalisemwa hapa JF?
 
Umeamua kujichomoa fuse!!
 
Hili wachangiaji wengi waliochangia huko juu hawalijui.
Ndio maana huyo mpangaji kapewa mpunga mrefu ili auze ile haki yake ya "ukazi wa muda mrefu" ambayo imempa tiketi ya kununua jengo na kuwa mpangaji wa "ardhi ya NHC".
Itakua
 
February month
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…