Waziri anapobishana na mwananchi wake mtandaoni. Yako wapi maadili ya viongozi?

Waziri anapobishana na mwananchi wake mtandaoni. Yako wapi maadili ya viongozi?

[emoji16][emoji16]
Bongo nyoso
Mwanasian amekosa ukomavu kwakuw amepgw kwenye mshono
 
Huyo waziri alichokiandika ndio uwezo wake na ndio anayoyaweza kufanya pengine anafanya lobbying sasa iundwe wizara ya mipasho.

Niliwahi kumuuliza swali moja la msingi akaishia kuniblock ndio nikafahamu uwezo wake ni duni wizara hiyo ni kama mzigo wa jabali kwake.
 
Hata kabla sijafungua thread nilishajua tuu huyu ni NAPE, kama sio tabia ya kupenda kubebana huyu jamaa na Mwigulu hawakufaa kua mawaziri. Nape angebaki kwenye uenezi na mwigulu akawe kocha wa Singina Bull Shi.it (Singida BS).
Umesema kweli 100%
 
Back
Top Bottom