Waziri anapobishana na mwananchi wake mtandaoni. Yako wapi maadili ya viongozi?

Waziri anapobishana na mwananchi wake mtandaoni. Yako wapi maadili ya viongozi?

Mzee wa Short cut na figisu figisu nyingi aka chukua cko mapema.
Hayo ndio mambo wanayapenda CCM, eti kwakua baba
alikua fulani basi na mtoto apewe kinafasi bila hata kuangalia uwezo.

Hebu angalia January, Nape na Ridhiwani walivyovurunda tangu huyu bibi arudi kuwakumbatia, yaani ni ujanja ujanja hakuna tija yoyote. Kama kuna la maana wamefanya tangu wamerudishwa tuambiwe hapa.

Nape kamaliza mafuta yatokanayo na kodi za wananchi anakwea chopa kila siku kwenye mradi wa anuani za makazi ila vibao vyenyewe ubora sufuri majina yalivyoandikwa ni vituko tu.
 
Kubishana na watu sio Kosa tena hilo linaweza kuonekana na jambo zuri kwamba unajichanganya na wadau....

Issue ni kile unachosimamia / Unachokiongea kikwa perceived tofauti na Mambo taasisi yako inachosimamia inapelekea wewe kuonekana kama mnafiki na mtu asiyejali...

Sasa kama akili za shule hazifai mtaani na tunatumia mamilioni ya kodi kusomesha watu yeye kama mtunga Sera amefanya nini ili hizo akili zifae kitaa ?
 
.
Eb6EA2PXkAI4b_N.jpg_large.jpg
 
Hayo ndio mambo wanayapenda CCM, eti kwakua baba
alikua fulani basi na mtoto apewe kinafasi bila hata kuangalia uwezo.

Hebu angalia January, Nape na Ridhiwani walivyovurunda tangu huyu bibi arudi kuwakumbatia, yaani ni ujanja ujanja hakuna tija yoyote. Kama kuna la maana wamefanya tangu wamerudishwa tuambiwe hapa.

Nape kamaliza mafuta yatokanayo na kodi za wananchi anakwea chopa kila siku kwenye mradi wa anuani za makazi ila vibao vyenyewe ubora sufuri majina yalivyoandikwa ni vituko tu.
Tatizo ni bibi
 
Waziri mjinga mjinga anayebeza kutafuta pesa na elimu kwa njia halali na kupenda kutumia mishe za kijambazi kupata pesa na madaraka,pumbavu zake.
It is too low kwa mtu anayejiita waziri ku-share ujumbe wa kipuuzi kama huo, waziri unatakiwa utoe au ku-share information ambayo ina reflect sera ya nchi, siyo hizo jumbe za kwenye kanga na vigodoro......yaani aibu naona mimi.​
 
Back
Top Bottom