Waziri anayetumia V8 kuchungia ng'ombe ni nani?

Huyu Mdude nadhani mahali anapostahili ni Mirembe afya ya akili yake iangaliwe
Mdude hanaga akili kabisa. Na ndio aina ya vijana waliojaa kule CHADEMA. ambao kwao uongo , uzushi,umbea umbea na unafiki ndio kazi yao kubwa. Ni watu wasiojitambua wala kujielewa .ni watu wa hovyo sana kiukweli.
 
Yaani alitumia muda wa maandamano kudai kwamba kuna waziri anayechunga ng'ombe wake kwa V8?
Ndio tatizo la kutegemea wajinga wawe mouthpiece wa chama kinachotaka watanzania wakiamini.
Na hao akina Mdude Nyagali na akili zao mbovu ndio wanategemewa na CHADEMA kuwazungumzia mambo yao na kuonekana ndio makamanda wazuri. Hii ndio sababu chama kina kwenda kama kipofu gizani. Hakina muelekeo wala dira.
 
Yaani alitumia muda wa maandamano kudai kwamba kuna waziri anayechunga ng'ombe wake kwa V8?
Ndio tatizo la kutegemea wajinga wawe mouthpiece wa chama kinachotaka watanzania wakiamini.
Jibu hoja zake
 
Kwani Kuna shida gani wakati huyo ni Tajiri na ana pesa? Tafuta pesa broo, maandamano hayatakupa V8
 
Shida ipo wapi, kama amenunua kwa pesa zake.

Hoja nyingine hizi za kijinga
Mapunguani hayo, yaani tena kasema ana mang'ombe kibao .

Mwenzako anatafuta pesa wewe kutwa kucha kuwa chawa wa Mbowe na kushinda mitandaoni kutukana saa ngapi Watoto wako watapata V8?

Yamekuwa mamisukule ya Mbowe ambae ni Tajiri
 
Akili nzuri zinapima hoja kama ina mashiko na mantiki au haina, siyo kwamba imetoka kwa nani.
 
Mapunguani hayo, yaani tena kasema ana mang'ombe kibao .

Mwenzako anatafuta pesa wewe kutwa kucha kuwa chawa wa Mbowe na kushinda mitandaoni kutukana saa ngapi Watoto wako watapata V8?

Yamekuwa mamisukule ya Mbowe ambae ni Tajiri
Kwi Kwi Kwi
 
Ulitakaaaa achungeee na

Dash -8????
Mko serious tengenezen maisha yenu na watoto eenu vya watu huliwa na watu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…