Waziri anayetumia V8 kuchungia ng'ombe ni nani?

Waziri anayetumia V8 kuchungia ng'ombe ni nani?

Huyu Mdude nadhani mahali anapostahili ni Mirembe afya ya akili yake iangaliwe
Mdude hanaga akili kabisa. Na ndio aina ya vijana waliojaa kule CHADEMA. ambao kwao uongo , uzushi,umbea umbea na unafiki ndio kazi yao kubwa. Ni watu wasiojitambua wala kujielewa .ni watu wa hovyo sana kiukweli.
 
Yaani alitumia muda wa maandamano kudai kwamba kuna waziri anayechunga ng'ombe wake kwa V8?
Ndio tatizo la kutegemea wajinga wawe mouthpiece wa chama kinachotaka watanzania wakiamini.
Na hao akina Mdude Nyagali na akili zao mbovu ndio wanategemewa na CHADEMA kuwazungumzia mambo yao na kuonekana ndio makamanda wazuri. Hii ndio sababu chama kina kwenda kama kipofu gizani. Hakina muelekeo wala dira.
 
Yaani alitumia muda wa maandamano kudai kwamba kuna waziri anayechunga ng'ombe wake kwa V8?
Ndio tatizo la kutegemea wajinga wawe mouthpiece wa chama kinachotaka watanzania wakiamini.
Jibu hoja zake
 
View attachment 2881463

Yapo mambo yaliyoibuliwa kwenye haya Maandamano tunayoendelea nayo yanasisimua sana .

Imeibuka Taarifa kwamba yuko Waziri mwenye ng'ombe wengi sana , ambaye anatumia V8 kuchungia mifugo hiyo , yaani iko hivi , wachunga ng'ombe walioajiriwa na Mh huyo wamepewa V8 Kufuatilia ng'ombe hao huko porini , sijui kama mnanielewa ?

Yaani Nchi hii ambayo 90% ya Raia wake wanaitwa Wanyonge V8 inachungia ng'ombe !

Nakulilia Tanzania .
Kwani Kuna shida gani wakati huyo ni Tajiri na ana pesa? Tafuta pesa broo, maandamano hayatakupa V8
 
Shida ipo wapi, kama amenunua kwa pesa zake.

Hoja nyingine hizi za kijinga
Mapunguani hayo, yaani tena kasema ana mang'ombe kibao .

Mwenzako anatafuta pesa wewe kutwa kucha kuwa chawa wa Mbowe na kushinda mitandaoni kutukana saa ngapi Watoto wako watapata V8?

Yamekuwa mamisukule ya Mbowe ambae ni Tajiri
 
Sasa nawe kwa akili yako Timamu unaanzia wapi kumsikiliza na kumuamini mtu kama Mdude Nyagali? Maana hapo anapozungumza lazima tayari ameshajifukiza moshi wake wa majani kichwani pake. Maana angekuwa na taarifa za ukweli na sahihi zisizo na shaka na ni jasiri na anao uhakika wa hayo azungumzayo angemtaja huyo waziri pamoja na eneo waliko hao ng'ombe.

Angeweka hata ushahidi wa picha ya hilo gari,maana anaposema hivyo anamaanisha na kutuaminisha kuwa ameliona hilo gari au kuonyeshwa picha za gari.

Mimi Mwashambwa Lucas ieleweke ya kuwa kamwe sitetei wala kumtetea mtu anayeweza kuchezea mali za umma maana ni kodi zetu sote watanzania. Nachopinga na kupingana nacho ni habari ambazo CHADEMA na vijana wake wamekuwa wakipenda kuzusha vitu pasipo kuwa na taarifa wala ukweli wala ushahidi wala uhakika.

Ni Mdude Nyagali huyo huyo kwa akili zake za hovyo kuna siku aliweka picha mtandaoni kule twitter ya Benjamini Netanyau wakiwa na mwanae .na akasema kuwa Benjamini Netanyau ambaye ni waziri Mkuu wa Israel alikuwa akiagana na mwanae ambaye alikuwa anaelekea vitani kupambana na Hamasa, jambo ambalo lilikuwa ni la uongo mkubwa sana na upotoshaji,kwa kuwa picha hiyo ilikuwa ni ya muda mrefu na ilikuwa haihusiani na vita inayoendelea kwa sasa.lakini kabla ya kuambiwa kuwa alikuwa amepotosha alishangiliwa sana na nyumbu wa CHADEMA kama kawaida yao ya kunyonya na kubeba kila kitu kama madodoki .maana Wenyewe hawanaga muda wa kujisomea wala kutafuta ukweli wa taarifa wala kufanya utafiti wa kina.

ndio maana wao ni kuburuzwa tu na kupotoshwa kwa mambo mengi.ndio maana silaha yao kubwa huwa ni matusi tu midomoni mwao kama vichaa au wendawazimu

Kumbuka ni hawa hawa CHADEMA wakiwepo hawa wavuta bangi akina Mdude Nyagali walizusha na kumzushia ujinga Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais .mwisho wa siku kila mtanzania anajua kuwa taarifa zao zilikuwa ni uongo na uzushi.

Je walishakuja tena hadharani kuomba msamaha kwa uzushi na uongo wao? Je walishakuja kuliomba msamaha Taifa.? CHADEMA na vijana wake wanaendeshwa na mihemuko badala ya kutumia akili .ni vijana wa hovyo sana wasio na nidhamu wala adabu zaidi ya uropokaji na ukurupukaji tu.
Akili nzuri zinapima hoja kama ina mashiko na mantiki au haina, siyo kwamba imetoka kwa nani.
 
Mapunguani hayo, yaani tena kasema ana mang'ombe kibao .

Mwenzako anatafuta pesa wewe kutwa kucha kuwa chawa wa Mbowe na kushinda mitandaoni kutukana saa ngapi Watoto wako watapata V8?

Yamekuwa mamisukule ya Mbowe ambae ni Tajiri
Kwi Kwi Kwi
 
View attachment 2881463

Yapo mambo yaliyoibuliwa kwenye haya Maandamano tunayoendelea nayo yanasisimua sana .

Imeibuka Taarifa kwamba yuko Waziri mwenye ng'ombe wengi sana , ambaye anatumia V8 kuchungia mifugo hiyo , yaani iko hivi , wachunga ng'ombe walioajiriwa na Mh huyo wamepewa V8 Kufuatilia ng'ombe hao huko porini , sijui kama mnanielewa ?

Yaani Nchi hii ambayo 90% ya Raia wake wanaitwa Wanyonge V8 inachungia ng'ombe !

Nakulilia Tanzania .
Ulitakaaaa achungeee na

Dash -8????
Mko serious tengenezen maisha yenu na watoto eenu vya watu huliwa na watu....
 
Back
Top Bottom