Waziri Aweso apata mtihani, afiwa siku ya hotuba yake ya bajeti

Poleni sana wafiwa, mambo haya yasikie kwa wenzako tu, yanaumiza sana nafsi
 
Presha au Kisukari,kwa Mwili Huyo jamaa uwezeakano mkubwa
 
Who care? Inatuhusu nini? Nyie ccm mbwa sana
 
Uchawi wa pangani huo umejibu
 
Kumbe ukiwa na ndugu huko mjengoni akikualika jipime mara mbili mbili,
 
Hivi mbunge akitemwa hiyo nyumba yake ya Dom si anaiachia kwa bei ya mandazi au kwa vile mji umechangamka kwa sasa anapangisha tu.
 
Jengine hili
 

Attachments

  • IMG-20250511-WA0002.jpg
    66.3 KB · Views: 18
Sasa kuwasilisha tu budget mnakwenda ukoo mzima duh hatari sana hii
 
imetokea tu na pia kifo ni fumbo apangaye ni maulana
Kutokea imetokea kweli, lakini sababu kuu hapo ni magonjwa yasiyoambukiza, ndiyo ambayo huondoa watu kwa mtindo huo.

Umekaa na historia ya afya yako ya miaka miwili mitatu nyuma kwamba ulipimwa na kuonekana hauna kisukari na hauna presha, sasa unadunda bila wasi wadi, kumbe tayari una presha ama kisukari kinakubungua bila kujua!

Kikubwa ni kucheki afya mara kwa mara, hakuna mwenye guarantii ya uzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…