peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Serikali Kutekeleza Miradi Saba ya Barabara kwa EPC+F
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewatoa hofu Waheshimiwa Wabunge kuhusu mpango wa Serikali wa utekelezaji wa miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa utaratibu wa uhandisi, ununuzi, ujenzi na fedha (EPC+F) kuwa itatekelezwa kama ilivyopangwa. Mhandisi Kasekenya amesema hayo...