peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Huo mradi mkubwa mbona haukamiliki miaka kenda. Unaweza ukawepo jikoni ila kilichobandikwa ni mawe subiri sufuria iungue ndio ushtukeππMorogoro Kuna mradi mkubwa wa mabilioni unaendelea ukikamilika maji bwerere.
Hivi inakuaje sisi wa mbali tunajua kinachoendelea jikoni kwenu then nyie wa hapo hapo hakuna mnachojua? Mbona sielewi hii? ππ
Mradi wa Maji wa mabilioni sio madarasa hayo,Kuna miaka 3 na zaidiHuo mradi mkubwa mbona haukamiliki miaka kenda. Unaweza ukawepo jikoni ila kilichobandikwa ni mawe subiri sufuria iungue ndio ushtukeππ
Wanababaisha nini? ππWalio pewa nafasi nchi hii ni wababaishaji.
Ni muda sasa nafasi hizo watu wenye uwezo waombe kwa kuandika barua, ili akishindwa aombe mtu mwingine.
Hizi nafasi za kusifiana ni hovyo kabisa.
Kazi zinaendelea mbona?EPC+ F ilifkia wapi kms 2035π€£
Kazi zinaendelea unless hujui maana ya EPC+F.Serikali Kutekeleza Miradi Saba ya Barabara kwa EPC+F
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewatoa hofu Waheshimiwa Wabunge kuhusu mpango wa Serikali wa utekelezaji wa miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa utaratibu wa uhandisi, ununuzi, ujenzi na fedha (EPC+F) kuwa itatekelezwa kama ilivyopangwa. Mhandisi Kasekenya amesema hayo...www.jamiiforums.com
Sawa lakini kwa sasa kuna shida ya majiMradi wa Maji wa mabilioni sio madarasa hayo,Kuna miaka 3 na zaidi
Ndio mkomae hakuna shortcut ila nao utafanywa biskuti kama huu hapa πSawa lakini kwa sasa kuna shida ya maji
Dakika moja ya hotuba kataja jina lako mara tatu.Ndio mkomae hakuna shortcut ila nao utafanywa biskuti kama huu hapa π
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1788535966736511260?t=0d2bRdAgF4f5dkh6gJ8KOQ&s=19