Waziri azuia majaribio ya mbegu za GMO

Labda nikusaidie kitu kimoja, ili tusiende in a vicious cycle.
Tofauti kuu ni hii:-
Hybridization hutumia ‘Fertilization’ inayoleta fertile offspring, na haihusishi ‘GENE SPLICING’, bali ‘Genetic Modification’ huusisha ‘GENE SPLICING’ na ‘GENE STITCHING’, then fertilization ndio hufuata baadae.
Nadhani sasa unaweza kutofautisha kwa urahisi sana process ya ‘hybridization’ na ‘Genetic Modification’ in a clear cut manner.
 
Mbona hybridisation ya farasi na punda haileti fertile offsping? Au unataka kusema ile siyo hybridisation?. Unatakiwa kuelewa general principle ya GM, vinginevyo utaiona kama ni dubwasha la kutisha sana.
 
Hebu kwanza mkuu, nipe tafsiri yako ya "Genetic modification"

Nadhani itatusaidia kwenye mjadala wetu!
 
Mbona hybridisation ya farasi na punda haileti fertile offsping? Au unataka kusema ile siyo hybridisation?. Unatakiwa kuelewa general principle ya GM, vinginevyo utaiona kama ni dubwasha la kutisha sana.
Fertile offspring endapo ni aina moja ya species, ila kama species ni tofauti ila close enough, lets say genus moja na fertilization ikafanikiwa then obviously offspring hawatakuwa fertile, ila most importantly hakuna gene splicing na gene stitching inayofanyika kwa parent cells kabla ya hiyo fertilization, kama ilivyo kwa genetic modification.
 
Hebu kwanza mkuu, nipe tafsiri yako ya "Genetic modification"

Nadhani itatusaidia kwenye mjadala wetu!
Kwanza natumai unaelewa maana ya neneo ‘CONTEXT’.
Genetic Modification katika CONTEXT ya biological Science ambayo ndio tunaizungumzia hapa, ni kitendo cha kubadilisha gene sequence ya parent cells kabla ya kuzirutubisha ili kutengeneza offspring. Mfano tunachukuwa kinasaba cha mbwa kinachohusiana na kunusa, tunakikata toka kwenye cell ya mbwa, then tunaenda kukishonea kwenye parent cell lets say ya samaki, ili tukisharutubisha hilo yai la samaki, wazaliwe samaki wenye uwezo wa kunusa kama mbwa, huo ni mfano tu. Sasa sielewi unachobisha hapa ni nini hasa
 
hizi mbegu mbona watu wameshaanza kutumia muda tu
kule kilimanjaro ukikuta ni msimu wa kupanda mahindi kila mtu ana mifuko ya mosanto
 
Safi sana Profesa! Siyo kila teknolojia mpya ni kuiga tuu kama tulivyozoea. Hawa wazungu wako kwenye business kutawala soko letu la pembejeo na mazao kwa jumla.
 
hizi mbegu mbona watu wameshaanza kutumia muda tu
kule kilimanjaro ukikuta ni msimu wa kupanda mahindi kila mtu ana mifuko ya mosanto
Mtu akipiga kitu marufuku maana yake nini? Maana yake kipo tayari ila kwa sasa anakipiga marufuku, au we umeelewaje labda?
 
Nimeielewa definition yako kuhusu "genetic modification". And yes, hapa context yetu ni biological science or biotechnology to be precise.

Definition yako haitofautiani sana na ya kwangu. Genetic modification is the process of altering the genetic make up of an organism.

Sasa naomba nikukumbushe hoja yangu ya msingi unayoipinga wewe. Mimi nimesema kua, GMO na hybridization zote zinahusisha genetic modification, ila zinatofautiana kwenye " means" of carrying out the whole process of modification.

Nikasema hybridization inafanyika naturally through human assistance. Kama kupandisha punda na farasi au cross pollination ya mimea. Nikasema GMO yenyewe ni zao la genetic engineering. Kwamba hufanyika maabara ambapo wataalam hutumia vifaa na teknolojia in manipulation of organism's genoma.

Kwahiyo hoja yangu ya msingi ni kwamba, hybrids na GMOs zote ni products za genetic modification. Ila tu, moja imetengenezwa naturally by human assistance, wakati nyingine imetengenezwa maabara through genetic engineering.

I rest my case!
 
Safai sana Serikali izue pia Wakulima kukopwa na Vyama vya Ushirika, Futeni Hatifungani na Stakabadhi Ghalani zinawatia Umaskini Wakulima.
 
Ndugu yangu, kwenye hybridization, hakuna alteration kwenye genetic make up ya parent organisms na pia hakuna alteration inayofanyika kwenye genetic make up ya Offspring, sasa utasemaje hybrids ni product ya genetic Modification? Otherwise hata Mzungu akizaa na Mwafrika itabidi tuseme huyo mtoto ni product ya genetic Modification kitu ambacho si kweli, genome mzungu haijawa altered, Genome ya Mwafrika haijawa altered, na genome ya chotara anaezaliwa haiwi altred in anyway, ni yake huyo offspring kama alivyorithi toka kwa wazazi wake, sasa Genetic Modification inatoka wapi katika Hybridisation, your arguement is a near Fallacy!

Labda nikuulize hili; Genetic Modification unayodai inatokea kwenye hybridisation huwa inafanywa kwa nani..
1.) Kwa baba (mfano mzungu)? Au
2.) Kwa mama (Mfano Mwafrika)? Au
3.) Kwa mtoto (in this case chotara)

Ni organism yupi kati ya hao watatu anaefanyiwa alteration kwenye Genetic make up yake?

1.)Obviously sio baba mzungu, maana ameingiza shahawa zake kama zilivyo

2.) Obviously sio Mama muAfrika, maana amerutubishiwa yai lake kama likivyo.

3.) Sasa je ni mtoto? Genetic Sequence ya huyu mtoto kabla ya alteration ilikuwa ni ipi hadi useme kwamba hii aliyonayo sasa baada ya kuzaliwa ndio product ya alteration? Maana huyu organism (Chotara) hakuexist kabla, maana yake hakuwa na genetic make up kabla, ila ameexist baada ya kuwa fertilezed, na at that instant ndio gentic makeup ya huyu organism ikaundwa, na ndio imebaki hivyo hadi amezaliwa, unaltered!

Sasa Genetic Modification iko wapi hapa??!! Ukizingatia umesema wewe mwenyewe kwamba “Genetic modification ni the alteration ya genetic make up of an organism”
 
Uliza ueleweshwe ulichokianda very wrong
 
Nazani wengi wana shida ya uelewa ktk hili LA GMO
 
Mkuu, hili swali nimelijibu kwenye post zangu za zilizotangulia huko juu.

Anyway nitarudia tena kwa mara ya mwisho. Nikijikita kwenye mfano wako wa mtoto chotara wa wazazi wa kiafrika ma wa kizungu.

Yai la kike (ovum), lina central nucleus ambayo inabeba genetic makeup za mama. Hili yai la kike (ovum) linaporutubishwa na mbegu ya kiume ambayo pia imebeba genetic make up ya baba, ndio huamua characteristics of the offspring. Sasa kama baba ni muafrika, na mama ni mzungu, basi genetic modification hufanyika wakati wa fertilization. Ni wakati huu ndio genoma ya mama, na genoma ya baba zinakua naturally manipulated kumtengeneza mtoto ambae ni chotara.

Kusingekua na genetic modification hapa, basi mtoto asingekua chotara. Ni either angekua muafrika pure kama baba yake, au mzungu pure kama mama yake.

Hii process inafanyika naturally, ndio maana hakuna specific selection of traits from the original organisms (wazazi). Ila ingekua ni GMO, basi hapa wataalam wangechagua specific traits wanazozitaka kwa huyu offsprings, kama rangi ya ngozi au aina ya nywele.

Kua na usiku mwema!
 
Mkuu achana na huyu jamaa, haelewi lakini hataki kujifunza ila anataka ligi. Utajichosha bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…