Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nashukuru kwa kusaidia kuuliza swali zuri sana maana maelezo yangu hayakueleweka!!Unafikri wakulima wadogo wakiondoka kwenye mfumo wa uzalishaji kundi kubwa kiasi gani la maskini litakuwa limetengenezwa?