Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Kajibu shallow sana.
Mbowe hakuwa mfanyabiashara na mbunge!?Kajibu shallow sana.
Mbowe alipokuwa mbunge alifanya biashara ya pamba?Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo kuwaminya wakulima linapokuja suala la kupanga bei.
Bashe ameyasema haya katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Waandishi wa habari leo 3/9/2023
Bashe kajibu kisiasa na kutoongelea mgongano wa maslahi kwa viongozji hao wa CCM kujiingiza kwenye biashara hiyo huku wakiwa kwenye uongozi wa bodi hizo.
Issue si kufanya biashara, issue ni kuwanyonya wakulima kwa bei ndogo za kihuni
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo kuwaminya wakulima linapokuja suala la kupanga bei.
Bashe ameyasema haya katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Waandishi wa habari leo 3/9/2023
Bashe kajibu kisiasa na kutoongelea mgongano wa maslahi kwa viongozji hao wa CCM kujiingiza kwenye biashara hiyo huku wakiwa kwenye uongozi wa bodi hizo.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa?Mfanyabiashara wa kitu gani?
Anachozungumza Lissu ni conflict of interests ambazo zipo kila mahali hata kwenye mashirika ya kimataifa..
Bashe aache bla bla..
Waziri wa kilimo na yeye ni mchuuzi wa mazao... Hilo ndio tatizo.
Madalali na wajasiriamali wa siasa watatuua kipindi hiki.
Aisee hii ni mgongano mkubwa sana wa kimaslahi
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo kuwaminya wakulima linapokuja suala la kupanga bei.
Bashe ameyasema haya katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Waandishi wa habari leo 3/9/2023
Bashe kajibu kisiasa na kutoongelea mgongano wa maslahi kwa viongozji hao wa CCM kujiingiza kwenye biashara hiyo huku wakiwa kwenye uongozi wa bodi hizo.
Majibu ya kipumbavu yeye alikuwa na mgongano gani na wauza bia. Hawa CCM ni wapumbavu hadi wanatia kinyaa. Uzuri there is option 2 as wellMbowe hakuwa mfanyabiashara na mbunge!?