mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
Mbowe hakuwa mfanyabiashara na mbunge!?
Atuambie huyo bashe ni lini mwengekiti alipewa Ginnery za victoria Nyanza za pamba kama akina nyongo na Gachuma.
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo kuwaminya wakulima linapokuja suala la kupanga bei.
Bashe ameyasema haya katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Waandishi wa habari leo 3/9/2023
Bashe kajibu kisiasa na kutoongelea mgongano wa maslahi kwa viongozji hao wa CCM kujiingiza kwenye biashara hiyo huku wakiwa kwenye uongozi wa bodi hizo.
Nilishasema huyu jamaa ni Bure kabisa na tafadhali wale walioko karibu Naye..mwambieni aachane kabisa na lugha ya kiingereza anapokua anaongea publicly...hiyo lugha haimtaki kabisa na mbaya zaidi anaitumia kuongea vitu vya hovyo kabisa kwa mtu wa nafasi hiyo kubwa sana.Kajibu shallow sana.
upuuziWaziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa?
Mazao yote makubwa chini yake yameanguka bei ,pamba, korosha hali ni mbaya.
kwenye tumbaku wakulima hawajalipwa hadi leo!!!kila siku ni ahadi na ngonjera zisizo isha kabisa.
Kitu ambacho hakijui Samia au anakijua lakini ameamua kukaa kimya ni mawaziri wake kugeuka wafanyabiashara wakubwa sana. Ukiona mafuta yameadimika sababu kubwa ni kwamba viongozi wa hiyo wizara ndiyo wamiliki wa vituo vya mafuta kwa hiyo hata yakifichwa ili yapande bei hawaoni shida, pia ukiona mazao ya kilimo hayapandi bei ujue wanunuzi wakubwa wa hayo mazao ni haohao mawaziri wa rais Samia!.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilishasema huyu jamaa ni Bure kabisa na tafadhali wale walioko karibu Naye..mwambieni aachane kabisa na lugha ya kiingereza anapokua anaongea publicly...hiyo lugha haimtaki kabisa na mbaya zaidi anaitumia kuongea vitu vya hovyo kabisa kwa mtu wa nafasi hiyo kubwa sana.
Waganga nchi hii mnatuumiza sana...how can you enable a person of this calibre to hold such a high and crucial office!?
Uko kwenye Bodi ya Korosho na ni Mfanya biashara mkubwa wa Korosho. Bado huoni tatizo. Akili Matope hiiMbowe hakuwa mfanyabiashara na mbunge!?
Kwamba hakuna miongozo kwenye bodi ya korosho!?..au una uhakika hawezi kuwa mwadifu!?..ukiwa mfanyabiashara ya korosho basi unakua na muhuri wa laana kwamba huwezi kuwa kwenye bodi ya korosho!?Uko kwenye Bodi ya Korosho na ni Mfanya biashara mkubwa wa Korosho. Bado huoni tatizo. Akili Matope hii
Ukiwa mfanyabiashara mkubwa haifai kuwa kiongozi wa nchi hata Kama una sifa?Ni mfanya biashara mpk kesho ila Issue hata sio hyo , Ukimsikiliza Lissu Issue ni yake ilikuwa conflict of interest ambayo Bashe hajazungumzia kabisa. mfno wake ni Irrelevant.
Mkulima hawezi kuwa Waziri wa kilimo au rais!?Majibu ya kipumbavu yeye alikuwa na mgongano gani na wauza bia. Hawa CCM ni wapumbavu hadi wanatia kinyaa. Uzuri there is option 2 as well
Mbona bashe Bado ni waziri Bora?Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa?
Mazao yote makubwa chini yake yameanguka bei ,pamba, korosha hali ni mbaya.
kwenye tumbaku wakulima hawajalipwa hadi leo!!!kila siku ni ahadi na ngonjera zisizo isha kabisa.
Bashe wa leo yuko bize kutetea wafanyabiashara tu ambao ni matajiri tayari na hata asipowatetea hawawezi kufa na njaa, na kuacha wananchi masikini ambao usipowatetea wanatembea bila viatu.
Kitu ambacho hakijui Rais Samia au anakijua lakini ameamua kukaa kimya ni mawaziri wake kugeuka wafanyabiashara wakubwa sana. Ukiona mafuta yameadimika sababu kubwa ni kwamba viongozi wa hiyo wizara ndiyo wamiliki wa vituo vya mafuta kwa hiyo hata yakifichwa ili yapande bei hawaoni shida, pia ukiona mazao ya kilimo hayapandi bei ujue wanunuzi wakubwa wa hayo mazao ni haohao mawaziri wa rais Samia!.
HahahaBei ya pamba 1000/kg
.bei ya makopp 1200/kg chaguo ni. lako ulime pamba au uokote Makopo.
Pamba inanunuliwa na kuuzwa Kutokana na bei ya Soko la Dunia, Mwaka jana imeuzwa 1500 moja ya bei kubwa kupata Kutokea, Bei imeshuka Soko la Dunia na in ashuka huku kwetu.Issue si kufanya biashara, issue ni kuwanyonya wakulima kwa bei ndogo za kihuni
Nakubaliana na wewe Jo. Unakuwa na Waziri Zuzu hawezi kujua maana ya conflict of interest? Yaani Mbunge anayetakiwa kuwatetea Wananchi dhidi ya walanguzi wa pamba ndiye mlanguzi wa pamba? Na bado Waziri anaona mfano mzuri ni Mbowe kufanya Biashara? Ni Biashara gani ya Mbowe ilikuwa inaingiliana na interest za wapiga Kura? Hotel au Club Bilicanas? Au Ile Green house?Nchi isiyokuwa na maadili na kuwajibika ndivyo inavyokuwa. Unakuwa na taasisi na maafisa wenhi lakini hakuna kinachofanyika.
Katika akili ya kawaida nilitegemea majibu kuhusu suala.hili yatolewe na Tume ya maadili.
Hatushangai yule mwingine aliyeruhusu vituo vyetu vya kutolea huduma za afya sasa kuwa huru kqa watendaji kuvitumia kufanya biashara na hakuna hatua iliyochukuliwa.
Hawa jamaa wanqfikiri watanzania ni watu wa aina gani?