Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23]Nakubaliana na wewe Jo. Unakuwa na Waziri Zuzu hawezi kujua maana ya conflict of interest? Yaani Mbunge anayetakiwa kuwatetea Wananchi dhidi ya walanguzi wa pamba ndiye mlanguzi wa pamba? Na bado Waziri anaona mfano mzuri ni Mbowe kufanya Biashara? Ni Biashara gani ya Mbowe ilikuwa inaingiliana na interest za wapiga Kura? Hotel au Club Bilicanas? Au Ile Green house?
Good umeandika vizuri kabisa, asanteNakubaliana na wewe Jo. Unakuwa na Waziri Zuzu hawezi kujua maana ya conflict of interest? Yaani Mbunge anayetakiwa kuwatetea Wananchi dhidi ya walanguzi wa pamba ndiye mlanguzi wa pamba? Na bado Waziri anaona mfano mzuri ni Mbowe kufanya Biashara? Ni Biashara gani ya Mbowe ilikuwa inaingiliana na interest za wapiga Kura? Hotel au Club Bilicanas? Au Ile Green house?
Hawa watu cjui wana shida gan 🤔 kwel Wazir unakuja jibu hoja in different ways? Na hii yote ni kuwasililiza uvccm mitandaon na kuja kutoa majibu. Bila kujua uvccm mitandaon ni hopeless, dormant, na wasio na akili ya kujenga hoja!!! Issue ya LISSU ililenga kutokea conflict of interest kati ya viongoz na wakulima!!! Hii Nchi hii....!!
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo kuwaminya wakulima linapokuja suala la kupanga bei.
Bashe ameyasema haya katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Waandishi wa habari leo 3/9/2023
Bashe kajibu kisiasa na kutoongelea mgongano wa maslahi kwa viongozji hao wa CCM kujiingiza kwenye biashara hiyo huku wakiwa kwenye uongozi wa bodi hizo.
Hapa Bashe ameongea kipumbavu! Hoja siyo kufanya biashara, hoja ni kufanya biashara ya kile unachokisimamia kuna conflict of interest hapo!
Kama Una Mawaziri àmbao wakisikia kuna mabadiliko ya Baraza la mawaziri wanaongeza speed ya AC ya gari Kwa hofu unategemea nini? Wao wenyewe wanajijua ni hopeless ndo maana wanachukua maoni ya wapuuzi wa uvccm mitandaoni ambayo hata Mtoto wa darasa la 4C anayachallenge.Hawa watu cjui wana shida gan [emoji848] kwel Wazir unakuja jibu hoja in different ways? Na hii yote ni kuwasililiza uvccm mitandaon na kuja kutoa majibu. Bila kujua uvccm mitandaon ni hopeless, dormant, na wasio na akili ya kujenga hoja!!! Issue ya LISSU ililenga kutokea conflict of interest kati ya viongoz na wakulima!!! Hii Nchi hii....!!
Mbowe anafanya biashara ya hoteli hakuwa mnunuzi, Bashe unasababisha wakulima waibiwe, wewe ni mnunizi.
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo kuwaminya wakulima linapokuja suala la kupanga bei.
Bashe ameyasema haya katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Waandishi wa habari leo 3/9/2023
Bashe kajibu kisiasa na kutoongelea mgongano wa maslahi kwa viongozji hao wa CCM kujiingiza kwenye biashara hiyo huku wakiwa kwenye uongozi wa bodi hizo.
Alafu anasema eti Mbowe pia alikua Mfanyabiashara... yaani the Guy can not connect... yaani ata kama Mbowe alikua businessman huyu bwege hajui jinsi business yake imekua affected kwa yeye kuwa Chairman wa Chama cha upinzani na Mbunge.Uko kwenye Bodi ya Korosho na ni Mfanya biashara mkubwa wa Korosho. Bado huoni tatizo. Akili Matope hii
Hivi huyu Bashe anatambua chochote kuhusu suala la kiongozi kuwa na mgongano wa maslahi? Pia anatambua kuhusu kiongozi kutakiwa ku "declare conflict of interest" kabla ya kufanyika maamuzi yeyote yenye kuathiri utekelezaji wa mambo yenye maslahi binafsi kifaida katika biashara ama uchumi?
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo kuwaminya wakulima linapokuja suala la kupanga bei.
Bashe ameyasema haya katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Waandishi wa habari leo 3/9/2023
Bashe kajibu kisiasa na kutoongelea mgongano wa maslahi kwa viongozji hao wa CCM kujiingiza kwenye biashara hiyo huku wakiwa kwenye uongozi wa bodi hizo.
U hv done it all ✔️Kama Una Mawaziri àmbao wakisikia kuna mabadiliko ya Baraza la mawaziri wanaongeza speed ya AC ya gari Kwa hofu unategemea nini? Wao wenyewe wanajijua ni hopeless ndo maana wanachukua maoni ya wapuuzi wa uvccm mitandaoni ambayo hata Mtoto wa darasa la 4C anayachallenge.
Ni mazoea mabaya tu. Mbunge au wanabodi ya pamba wanakua kwenye biashara ambazo wana maslahi nazo? Bashe anatetea maana wote wanakiuka good governance, ndio imekua desturi.
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo kuwaminya wakulima linapokuja suala la kupanga bei.
Bashe ameyasema haya katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Waandishi wa habari leo 3/9/2023
Bashe kajibu kisiasa na kutoongelea mgongano wa maslahi kwa viongozji hao wa CCM kujiingiza kwenye biashara hiyo huku wakiwa kwenye uongozi wa bodi hizo.
Hakuna ubaya kufsnya biashara, Ila, kama kuna mgongano wa, maslahi, hapo shida,
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo kuwaminya wakulima linapokuja suala la kupanga bei.
Bashe ameyasema haya katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Waandishi wa habari leo 3/9/2023
Bashe kajibu kisiasa na kutoongelea mgongano wa maslahi kwa viongozji hao wa CCM kujiingiza kwenye biashara hiyo huku wakiwa kwenye uongozi wa bodi hizo.
Cha kushangaza sasaNCHI hii viongozi wengi ni wapumbavu inasikitisha sana
Too low
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo kuwaminya wakulima linapokuja suala la kupanga bei.
Bashe ameyasema haya katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Waandishi wa habari leo 3/9/2023
Bashe kajibu kisiasa na kutoongelea mgongano wa maslahi kwa viongozji hao wa CCM kujiingiza kwenye biashara hiyo huku wakiwa kwenye uongozi wa bodi hizo.
Sikuwahi kutarajia kuwa Bashe ni sehemu ya viongozi wasiofaa kuaminiwa.Cha kushangaza sasa
Ndio wanaoongoza nchi[emoji23]
Ni utetezi wa kijinga na kipumbavu toka Kwa waziri!!
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo kuwaminya wakulima linapokuja suala la kupanga bei.
Bashe ameyasema haya katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Waandishi wa habari leo 3/9/2023
Bashe kajibu kisiasa na kutoongelea mgongano wa maslahi kwa viongozji hao wa CCM kujiingiza kwenye biashara hiyo huku wakiwa kwenye uongozi wa bodi hizo.
Kama Mwenyewe anamoto Abduli awe tajiri nnchi itaendaje!!Kumbe Bashe naye ni mpumbavu tu!! Hajajibu hoja, badala yake ananyooshea vidole kuwa na yule alikuwa anafanya hivi.
Bodi ya pamba ipo kwa ajili ya kuwalinda wakulima wa pamba. Viongozi wake wakianza kufanya biashara ya uchuuzi wa pamba hapo kunakuwa na mgongano wa maslahi. Anayeumia ni mkulima.
Pumbavu kabisa. Sijui SSH anawaza nini kwa hawa ng'ombe anaowateua.