Waziri Bashe: Hatujapokea taarifa rasmi kutoka Kenya kuhusu kuzuiwa mahindi yetu ila magari yetu yamezuiwa!

Waziri Bashe: Hatujapokea taarifa rasmi kutoka Kenya kuhusu kuzuiwa mahindi yetu ila magari yetu yamezuiwa!

Updates za maangamizi ya Nzige mbona imekuwa kimya
 
Aliyekupa amekupa tu hata mkitia kila aina ya figisu hamtaweza kwa sababu aliyetubariki ni Mungu mwenyewe
Tuna madini
Tuna ardhi nzuri na tunalima sana tu
Tuna vivutio vya utalii kama vyote
Mungu ametuweka kijiografia kwenye eneo nzuri kuwahudumia nchi zilizoko mbali na bahari
Yaani sijui niseme nini
RAISI MAKINI TUNAE
Hebu mtuheshimu tu hizi figisu hazisaidii jamani ni Mungu huyu ambaye ametupatia vitu vyote hivyo
Ni kweli kila kitu tumebarikiwa kasoro tumenyimwa akili.
 
Aliyekupa amekupa tu hata mkitia kila aina ya figisu hamtaweza kwa sababu aliyetubariki ni Mungu mwenyewe
Tuna madini
Tuna ardhi nzuri na tunalima sana tu
Tuna vivutio vya utalii kama vyote
Mungu ametuweka kijiografia kwenye eneo nzuri kuwahudumia nchi zilizoko mbali na bahari
Yaani sijui niseme nini
RAISI MAKINI TUNAE
Hebu mtuheshimu tu hizi figisu hazisaidii jamani ni Mungu huyu ambaye ametupatia vitu vyote hivyo
Kumbe unasema "raisi"? Nilidhani unasemea "rais" ningeshangaa sana.
 
Anadhani kuongoza nchi ni sawa na kuswaga ng'ombe
Unahangaika sana dogo! LISU hatakaa awe rais, bora ukijikite kukitafutia kipato kuliko kusubiri Lisu awe rais
 
..badala ya kuwasiliana na waziri mwenzake kwa upande wa Kenya anatuletea habari hizi.

..sasa anaposema hawajapokea taarifa rasmi inatusaidia nini sisi Watanzania?

..Nia yetu ni kuuza mahindi Kenya na Waziri hatakiwi kuzubaa-zubaa ktk kulipatia ufumbuzi suala hili.
Subiri Kenya atajibiwa ipasavyo
 
..dogo[bashe] anaenda kutembelea mpaka wa namanga, badala ya kuwasiliana na viongozi wenzake kwa upande wa kenya.
Subirini mtapata ripoti nyie zenu ni kupiga domo motandaoni
 
Aliyekupa amekupa tu hata mkitia kila aina ya figisu hamtaweza kwa sababu aliyetubariki ni Mungu mwenyewe
Tuna madini
Tuna ardhi nzuri na tunalima sana tu
Tuna vivutio vya utalii kama vyote
Mungu ametuweka kijiografia kwenye eneo nzuri kuwahudumia nchi zilizoko mbali na bahari
Yaani sijui niseme nini
RAISI MAKINI TUNAE
Hebu mtuheshimu tu hizi figisu hazisaidii jamani ni Mungu huyu ambaye ametupatia vitu vyote hivyo
tatizo sio kuwa na vitu.. tatizo unavitumiaje kufika unapotaka?
katika dunia ya leo huwezi kufanikiwa bila kuwa na ushirikiano na mataifa mengine.
 
Back
Top Bottom