Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kapuku Tanzania atamfanya nini Kenya ?Ndio inalipizwa? Subiri majibu atayapata soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapuku Tanzania atamfanya nini Kenya ?Ndio inalipizwa? Subiri majibu atayapata soon
Kichwa chako nadhani hakiko sawa,..nani amekwambia Tanzania kuna corona?
Anadhani kuongoza nchi ni sawa na kuswaga ng'ombe
yule boss wenu unayeshinda kumtetea mitandaoni ndo hamnazo kabisa, hakika tumepata hasara!Ni wewe pekee ndio huna akili mkuu
Ulitaka tukuhusishe wewe? Nani anakujua wewe nguchiro?Watu wengine vichwani mmejaza funza. Madai ya Kenya kuzuia mahindi yamewekwa, ila wewe kwa akili ndogo zako unamhusisha JPM na kuongoza Nchi. Acheni ujuha
Prof Mkenda, ni mwelewa.Yani akawapigie magoti wakenya?
Watanzania tumejengewa dhana zo hovyo sana,na hii kwasababuAliyekupa amekupa tu hata mkitia kila aina ya figisu hamtaweza kwa sababu aliyetubariki ni Mungu mwenyewe
Tuna madini
Tuna ardhi nzuri na tunalima sana tu
Tuna vivutio vya utalii kama vyote
Mungu ametuweka kijiografia kwenye eneo nzuri kuwahudumia nchi zilizoko mbali na bahari
Yaani sijui niseme nini
RAISI MAKINI TUNAE
Hebu mtuheshimu tu hizi figisu hazisaidii jamani ni Mungu huyu ambaye ametupatia vitu vyote hivyo
bashe usijitoe ufahamu,kenya wamezuia mahindi kutokaTANZANIA OFFICIAL,tuyarudishe tule mpaka tuvumbiwe.nasema mitano tenaNainu waziri wa kilimo Hussein Bashe amesema serikali haijapokea taarifa rasmi kutoka Kenya juu ya kuxuiwa kwa mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo.
Bashe amesema wakipewa taarifa watachukua hatua stahiki japo mkuu wa TRA Namanga amethibitisha mahindi ya Tanzania kuzuiwa kuingia Kenya kwa kuzuia magari yenye shehena.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
====
Arusha. Naibu Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Hussein Bashe amewasili mkoani Arusha kutatua kile kinachodaiwa kuwa Mamlaka ya Mapato nchini Kenya (KRA) imezuia magari ya mizigo yenye shehena ya mahindi kuingia nchini humo.
Taarifa ya zuio hilo imesambaa katika mitandao ya kijamii kuanzia usiku wa kuamkia leo Jumamosi Machi 6, 2021 ikieleza kuwa magari yamekwama katika mpaka wa Namanga.
![]()
Akiwa katika eneo hilo lililopo Wilaya ya Longido mkoani humo, Bashe ambaye ni mbunge wa Nzega Mjini (CCM) amesema Serikali ya Tanzania inachukulia kwa uzito unaostahili mazao yao kuzuiwa.
"Serikali inafutilia kwa karibu zuio hili niwahakikishie wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla kuwa serikali itaendelea kulinda maslahi yake," amesema Bashe.
Wewe ndiyo umefunzika kichwani huoni mbele tatizo la jpm wako ni hajui Mahusiano ubabe mpaka kwa jiraniWatu wengine vichwani mmejaza funza. Madai ya Kenya kuzuia mahindi yamewekwa, ila wewe kwa akili ndogo zako unamhusisha JPM na kuongoza Nchi. Acheni ujuha
Watu wengine vichwani mmejaza funza. Madai ya Kenya kuzuia mahindi yamewekwa, ila wewe kwa akili ndogo zako unamhusisha JPM na kuongoza Nchi. Acheni ujuha
Wewe, nani kasema Prof. Adolf Mkenda ni wa Rombo? Huyu ni kanda ya ziwa! Si unajua lazima uwe kanda ya ziwa eti!Prof. Adolf Mkenda, nenda kenya katie hili tatizo. Wewe kwenu Rombo ,na warombo na wakenya mnaelewana. Huyu Dogo hawezi hiyo kazi.
Upo sahihi lakini kuna baadhi yao ushirikiano wao hauna jema nasi na wengi wa mataifa hayo wanasumbuliwa na kijichotatizo sio kuwa na vitu.. tatizo unavitumiaje kufika unapotaka?
katika dunia ya leo huwezi kufanikiwa bila kuwa na ushirikiano na mataifa mengine.
hakuna mtu aliebisha kua mahindi hayana sumu ila concern ya serikali ni kua kenya hawakufuata utaratibu katika kutoa tangazo lao, sasa ngoja JIWE litawafurahisha manina zao...Dona kantri bwana kila kitu inakanusha.
Korona hakuna
Mahindi hayana sumu
..anawajulisha watanzania nini?
..kwamba serikali ya Tanzania haijawasiliana na viongozi wa Kenya kulipatia ufumbuzi suala hili?
Je, hicho ndicho Watanzania wanachotaka kujulishwa?
Maeneo ya watu haya. Sababu za hizo mambo ni nyingi kidogo. Kwahiyo hizo kansa zimeenea zaidi kwetu kuliko kwao siyo?Kama kweli imedhibitika mahindi ya Tanzania yanao kiwango kikubwa cha aflotoxin basi afya ya Mtanzania mashakani. Aflotoxin husababisha kansa. Aflotoxin kwenye mahindi husababishwa na kuhifadhi kwenye ghala mahindi ambayo hayajakaushwa vizuri(moisture content must be below 13% dry basis for safe storage)
Kwenye hayo malori kuna uwezekano mkubwa asilimia ya kutosha ni ya wafanyabiashara wa ke.Mie nilitegemea afanye immidiate action kwa kusema mahindi yoootee yaliyokwama mpakani yapelekwe kwenye maghala ya serikali na wafanyabiashara waliohusika watalipwa kwa sababu inchi hii ni tajiri sana
Au nasema uongo ndugu zangu?
Subirini mtapata ripoti nyie zenu ni kupiga domo motandaoni
Hizo akili labda umenyimwa peke yako kiongozi.Ni kweli kitu tumebarikiwa kasoro tumenyimwa akili.