Waziri Bashe: Hatujapokea taarifa rasmi kutoka Kenya kuhusu kuzuiwa mahindi yetu ila magari yetu yamezuiwa!

Updates za maangamizi ya Nzige mbona imekuwa kimya
 
Ni kweli kila kitu tumebarikiwa kasoro tumenyimwa akili.
 
Kumbe unasema "raisi"? Nilidhani unasemea "rais" ningeshangaa sana.
 
Nafikiri kesho kutwa KQ wata andika hasara kwa safari zake za to & from Tz. Kama namuona baba jesca analiwazaa hili
 
Anadhani kuongoza nchi ni sawa na kuswaga ng'ombe
Unahangaika sana dogo! LISU hatakaa awe rais, bora ukijikite kukitafutia kipato kuliko kusubiri Lisu awe rais
 
Subiri Kenya atajibiwa ipasavyo
 
..dogo[bashe] anaenda kutembelea mpaka wa namanga, badala ya kuwasiliana na viongozi wenzake kwa upande wa kenya.
Subirini mtapata ripoti nyie zenu ni kupiga domo motandaoni
 
tatizo sio kuwa na vitu.. tatizo unavitumiaje kufika unapotaka?
katika dunia ya leo huwezi kufanikiwa bila kuwa na ushirikiano na mataifa mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…